MSAFIRI KABULWA
Member
- Apr 15, 2011
- 12
- 4
MSAFIRI KABULWA mimi nimefata kanuni zote za hesabu, mwisho wa siku 0=2. Argue mathematically ndugu yangu, hamna siasa hapo!!mkuyati og haihitaji ku-prove tangu lini sifuri ilalingana na mbili hata kama umesoma shule za kata na ukata. nashukuru kuturudisha darasani japo ni zaidi ya miongo miwili iliyopita tangu tuachane hisabati kama hizi. hatua ya tatu ndipo makosa yalipo
Ukijua sana hesabu utaishia kua muongo au tapeli.
Prove 5 = 7
5^0 = 7^0
1 = 1
Hence proved