Usigombee Urais kama.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Ukitaka kugombea Urais hakikisha jina lako halifanani na jina la jinsia nyingine au yatakutokea ya Dovutwa ambaye wapiga kura wengine walikuwa wanahoji vipi tulisikia kuna Devota anagombea mbona picha yake ya kiume? Makame nae alipokua anatangaza matokeo mara kadhaa akamwita Devota badala ya Dovutwa.
 
Hahaha! kama Masako alivyo kazana kusema Bwana Regia anatoa upinzani mkali kule Kilombero(Regia ni she).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…