T_Dangote Member Joined Apr 23, 2019 Posts 23 Reaction score 28 Apr 23, 2019 #1 Kuweka dhamana ama kukopesha pesa nayo ni matumizi. Usihesabu pesa uliyoweka rehani kwasababu kuna risk kubwa ya kuipoteza. Tunahitaji elimu ya fedha zaidi, mtu kuwa rafiki ama ndugu haitoshi kuwa sababu ya kumdhamini.
Kuweka dhamana ama kukopesha pesa nayo ni matumizi. Usihesabu pesa uliyoweka rehani kwasababu kuna risk kubwa ya kuipoteza. Tunahitaji elimu ya fedha zaidi, mtu kuwa rafiki ama ndugu haitoshi kuwa sababu ya kumdhamini.
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Mar 12, 2020 #2 Ni kweli mkuu