Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,237
- 1,744
Watu wanatekwa mnakaa na watekaji.Isa 5:20 SUV
[20] Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
Sio ajabu kukuta mtu au kuwakuta watu wakijisifia juu ya uovu wao wanaoutenda mbele za Mungu, wakijivunia matendo yao mabaya, wakiona wao ndio wanaifaidi dunia hii kuliko watu wengine wanaosema wamemwamini Yesu na hawawezi kufanya mambo yasiyompendeza.
Sio ajabu kuwakuta watu wakiitetea dhambi kana ni jambo jema au ni haki kufanya hivyo, na kuwakashifu wale waliosimama katika Mungu na kuyakataa yale matendo mabaya yanayomchukiza Mungu.
Wapo wanasimama kwa nguvu zao zote kupotosha ile kweli ya Mungu, na kuitetea dhambi kana kwamba ni jambo la kuvutia sana, na kuifanya kweli ya Mungu kuonekana ni jambo la kuchosha na kuumiza sana, na lisilowezekana kwa mtu kuishi maisha hayo anayotaka Mungu.
Mungu anatoa onyo kubwa juu ya hili, wale wanaosimama kinyume na neno la Mungu, na kulikataa kwa nguvu zao zote, na wengine kupinga na kuonyesha wazi sio kitu, na hakuna binadamu anaweza kuishi kama biblia inavyoelekeza.
Haya yote ni mbinu ya adui shetani kutumia watu hawa kupotosha kweli ya Mungu, kuwaonyesha wale waliosimama katika haki ya Mungu, wanaishi maisha magumu sana, maisha ya kujitesa bure wakati Mungu hawezi kuwahukumu watu wake.
Ukweli upo kwenye biblia, mtu anayejaribu kupotosha kweli ya Mungu, Mungu hawezi kufurahiwa naye, amepewa nafasi ya kubadilika na kutubu, asipofanya hivyo hukumu yake ni mbaya sana.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana
Samson Ernest
Kabla ya kukomenti soma ujumbe kwanza uelewe, na kabla ya kuandika tafakari kwanzaWatu wanatekwa mnakaa na watekaji.
Ninyi nyote mungu wenu ni PESA na WANASIASA wenye madaraka.
Ndio maana mkikaa nao mnasema mmekalishwa mezani kwa wakuu.
Matapeli wakubwa.
AminaAmen.
Tapeli.Kabla ya kukomenti soma ujumbe kwanza uelewe, na kabla ya kuandika tafakari kwanza
Nimekutapeli niniTapeli.
Hakuna Mungu hapo.
Lile swali la jamaa: Munaomwamini Mungu mna kitu gani cha kujivunia?Isa 5:20 SUV
[20] Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
Sio ajabu kukuta mtu au kuwakuta watu wakijisifia juu ya uovu wao wanaoutenda mbele za Mungu, wakijivunia matendo yao mabaya, wakiona wao ndio wanaifaidi dunia hii kuliko watu wengine wanaosema wamemwamini Yesu na hawawezi kufanya mambo yasiyompendeza.
Sio ajabu kuwakuta watu wakiitetea dhambi kana ni jambo jema au ni haki kufanya hivyo, na kuwakashifu wale waliosimama katika Mungu na kuyakataa yale matendo mabaya yanayomchukiza Mungu.
Wapo wanasimama kwa nguvu zao zote kupotosha ile kweli ya Mungu, na kuitetea dhambi kana kwamba ni jambo la kuvutia sana, na kuifanya kweli ya Mungu kuonekana ni jambo la kuchosha na kuumiza sana, na lisilowezekana kwa mtu kuishi maisha hayo anayotaka Mungu.
Mungu anatoa onyo kubwa juu ya hili, wale wanaosimama kinyume na neno la Mungu, na kulikataa kwa nguvu zao zote, na wengine kupinga na kuonyesha wazi sio kitu, na hakuna binadamu anaweza kuishi kama biblia inavyoelekeza.
Haya yote ni mbinu ya adui shetani kutumia watu hawa kupotosha kweli ya Mungu, kuwaonyesha wale waliosimama katika haki ya Mungu, wanaishi maisha magumu sana, maisha ya kujitesa bure wakati Mungu hawezi kuwahukumu watu wake.
Ukweli upo kwenye biblia, mtu anayejaribu kupotosha kweli ya Mungu, Mungu hawezi kufurahiwa naye, amepewa nafasi ya kubadilika na kutubu, asipofanya hivyo hukumu yake ni mbaya sana.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana
Samson Ernest
Swala la wasiojulikana limetusaidia sana kunua wanasiasa wanafiki na manabii wa uongo.Watu wanatekwa mnakaa na watekaji.
Ninyi nyote mungu wenu ni PESA na WANASIASA wenye madaraka.
Ndio maana mkikaa nao mnasema mmekalishwa mezani kwa wakuu.
Matapeli wakubwa.
Hawa wahuni wanafikiri wao tu ndio wanajua kusoma bibliaSwala la wasiojulikana limetusaidia sana kunua wanasiasa wanafiki na manabii wa uongo.
Bila shaka nilijibu, wachache kufanya vibaya haimaanishi Mungu ameishiwa watu wanaomcha katika roho na kweli. Yapo mambo mengi ya kujivunia katika familia ya MunguLile swali la jamaa: Munaomwamini Mungu mna kitu gani cha kujivunia?
Ikiwa mitume, manabii, mashekh na maimamu wako bize na Uzinzi, utapeli, ushirika na watu wa kuzimu?