Usijari mpenzi najua ipo siku tutaonana nakuoana, Kwa-kheri

Gabinus son

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Halloww wana Jf...! Jamani nina demu wangu anakaa SUMBAWANGA mi nikaa ARUSHA. Mahusiano yetu yameaanzia skul. Tulikuwa tunapendana sana tumemaliza skuli KAPANDA GARI kwenda swax na mimi nikapanda kwenda A-town. UWEZEKANO WA KUONANA NI MDOGO SANA. kutokana na umbali! Na na kumbuka maneno yake ya mwisho yalikuwa hv! 'USIJARI MPENZI NAJUA IPO SIKU TUTAONANA NA KUOANA NITUNZIE PENZI LANGU NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU. jamani kuna mapenzi tena hapo?? ushauri jamani
 
maneno yake changanya na zako coz wewe ndiyo unayemfahamu
 
Hata mm niliambiwaga hivyo hivyo. Usijal labda mtakutanaga heroo!
 
Kunaukweli mkuu, si amekwambia mwenyewe bhana, "mtaonana na kuoana."
 
Sasa taarifa hii umetupa hebu tuambie tusemeje
Si ufanye juhudi binafsi kumtafuta
Sasa unaomba ushauri humu ili ulipiwe nauli au auambiweje
tumia kwanza za kwako ukishindwa ndo utafute ushauri

Ahhhh
 
Acha kujidanganya na hvo vimaneno vya huyo gashi wako.watu tuliisha ambiwa hvyo hvyo,cku tunakutana tena,tunakuta tayar gashi ana njemba nyingne.
 
Mambo ya teenager hayo, peleka face book yakajadiliwe
 

kwakuwa ni DEMU,hapo hamna mapenzi tena wala ndoa,hilo jina tu inaonekana haumueshimu eti demu,i hate that word
 
Wakati mnaagana wewe ulimwambiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…