KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Wakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!"
Nilivyoona wanakaribia, nikajipanga mtoto wa watu. Spidi nikaongeza huku nikiwa makini kama mwanasayansi anayesubiri tafiti yake ikamilike ndani ya sekunde. Asalaleeee! Si wakafika kenge maji, nikazuia sekunde hiyo hiyo. Nikasikia maumivu makali mno yakitanda mwili mzima. Kizunguzungu kikanikamata, macho yakaanza kuona giza huku masikioni nikisikia mluzi wa nzwiiiii.
Nachokumbuka nilipozinduka nikiwa mnyonge sana, nimemwagiwa maji na shemeji yenu, nipo tepetepe. Aliponiuliza nini kimenipata, nikamdanganya kwamba mzimu wa ukoo ulitaka nikupe mimba, lakini nikaukatalia. Hivyo, mzimu ukaamua isiwe tabu, "acha nikuzimishe wewe nyumbu!"
Uzuri akanielewa, akanipikia uji nikanywa, nguvu zikanirudia!
Mambo mengine msije kujaribu, mtakuja kung'oka meno. Lile tendo halina reverse!