USIJE SEMA SIKUSEMA... NASEMA HAYA KABLA SIJAFA.

Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
879
Reaction score
1,084
MUNGU ANAKUPENDA SANA.

Ndio, sijakosea.. Mungu ANATUPENDA SANA na ndio maana Ameuleta ujumbe huu mbele yako leo hii.

Ni uamuzi wako, Kuchagua Mema na Uzima AU mabaya na mauti.

Mimi ni mdhambi kama wewe, ndio wewe ni mdhambi kama mimi, lakini Mungu hapendi tuishi katika dhambi na ndio maana Ametupa muda wa kuwa hai mpaka wakati huu unaposoma ujumbe huu.

Fikiria wangapi wanakufa sekunde hii kabla hawajapata nafasi ya kuusoma ujumbe huu?

Mimi sitaki kukuambia kuwa kwa kufanya hivi au vile hauta pata nafasi ya kwenda peponi, Hapana... Mimi nataka nikuambie, KAMA HAUTA TUBU MADHAMBI YAKO SASA UNGALI UNA NGUVU NA UWEZO WA KUFANYA HIVYO, Basi itakuwa ngumu kuingia peponi.

Iogope Zinaa, dhambi zote hufanyika nje ya mwili.. ila Zinaa ni ndani yako, ndio ndani ya huo mwili ambao Mungu amekupa umtumikie Yeye.

TUBU, narudia tena TUBU.. Nakuomba TUBU NA UREJEE KWAKE MUNGU AMBAE NDIYE MUUMBA WETU, ACHA KIBURI, USIJIONE MSAFI... WEWE NA MIMI SOTE WACHAFU MBELE ZA MUNGU.

"Sote tumetenda dhambi Tutubu na Kurejea Kwa Mungu"

Ninamuomba Mungu, akutoe kwenye huo uraibu na hivyo vifungo vya nafsi na roho.. TUBU HUJACHELEWA NDUGU YANGU.

SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA, TUBU UNIOMBEE NA MIMI.

20.08.21 (TUBU Ewe Mwanadamu)
 
Baada ya kutubu tubadir na tabia zilizo tupelekea kutubu.

Mungu akubariki kwa kutukumbusha jambo muhimu, tuzidi kujitahid kutenda mema ili tukaingie mbingun kwenye maisha ya raha.!
 
Asante kwa kuongeza njia ya kuufikia mwisho mwema.
Tutubu, tubadili mienendo iliyopelekea kumuacha Mungu.

Amin
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Karibu sana JamiiForums...

Nawe utubu kwa maana ufalme wa Mungu u karibu
 
Back
Top Bottom