Usije ukaiga Misha ya Wasanii wengi wana fake maisha

Usije ukaiga Misha ya Wasanii wengi wana fake maisha

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Siku hizi kuna tabia imeanzishwa wasanii wanasema wamenunua magari Ila wakitembea nayo hayawekwi plate no wasanii ukiwafuata Maisha Yao watakupoteza.
 
hilo neno wasanii,linavyosautika inatosha kabisa kuelewa which is which..😂
 
Sasa kama mtu anaimba hit song ya kumwimbia manzi mpaka wewe unaidediket Kwa mke,mchumba wako wakati yeye kutwa kubadirisha wa awake hapo unapata picha Gani.
Na mahusiano yake,ni kama mayai ya kisasa.
Jina linasadifu,afu wabongo hamnaga dogo.
Yako yanakushinda,kutwa kufatilia ya wenzako.ukijagundua anamiliki kweli,utarudi hapa na hoja mpya,je mali zote zile ni mziki tu😂
 
Aaahaaaaa
 
we nawe unajisumbua tu,,hujui msanii maisha ya kisanii sasa niige niwe msanii?
 
Kuna siku niliazima Prado la mwana nikaweka kwenye facebook na maneno ya kujisifu kama kitaa nawasumbua.

Mwana aliweka comment akisema UKIMALIZA KUIOSHA ILETE OFISINI. Nikaifuta fasta ile status yule mwana ngese kweli🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom