Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba
Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka.
Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza.
Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli haiwezi kuingia yet mtu anajenga nyumba ya zaidi ya sh. Milioni 50.
2. Hakikisha ndani hukosi usafiri
Jitahidi uwe na gari, pikipiki au hata baiskeli.
Usikae ndani bila kuwa na usafiri wowote.
Kuna dharura za hapa na pale usiku au mchana.