Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
40s mm sna mda wakujenga maana tayar sasa nijenge nmeshakuwa babu s ukichaaWabongo tumekariri kujenga,
Nadhani kuwekeza ni bora zaid wakati ukiwa umepanga, utajenga ktk 40's huko tena kwa wepes zaidi wakati financially upo strong
Ukijenga bado upo kijana unapata faida gani?40s mm sna mda wakujenga maana tayar sasa nijenge nmeshakuwa babu s ukichaa
Kuijenga financial strength siyo rahisi kama kula na kunya. Ndiyo maana watu wakibahatisha mkwanja wanaona bora wajenge hata mabondeni.Wabongo tumekariri kujenga,
Nadhani kuwekeza ni bora zaid wakati ukiwa umepanga, utajenga ktk 40's huko tena kwa wepes zaidi wakati financially upo strong
Kama mm tayar uwezekano wakua tajr nnayo maana hyo pesa ya kulipa kodi ya nyumba itakuwa ina faction sehem nyngne hyo garama stakuwa nayo zaid ya kufocus sehem nyngne faida ya pili stakuwa homeless kwaiyo dhamana ninayo kama nkihtaj kuboost biashara yang hlo halita nsumbuaUkijenga bado upo kijana unapata faida gani?
Sanasana kujitia stress tu
Unaishi kwenye nyumba za watu mpaka miaka 40 utakua huna akili vizuriUkijenga bado upo kijana unapata faida gani?
Sanasana kujitia stress tu
Duuuuuh1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba
Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka.
Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza.
Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli haiwezi kuingia yet mtu anajenga nyumba ya zaidi ya sh. Milioni 50.
2. Hakikisha ndani hukosi usafiri
Jitahidi uwe na gari, pikipiki au hata baiskeli.
Usikae ndani bila kuwa na usafiri wowote.
Kuna dharura za hapa na pale usiku au mchana.
Kuna ukweli wowote hapa?Wabongo tumekariri kujenga,
Nadhani kuwekeza ni bora zaid wakati ukiwa umepanga, utajenga ktk 40's huko tena kwa wepes zaidi wakati financially upo strong