Usijeukashangaa

Henry Temu

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
85
Reaction score
22
Kuna watu wamechaguliwa chuo na kwenye watu waliokosa chuo wapo,so usishangae ukakosa jina lako kwa waliokosa chuo na waliopata chuo!
ITATOKEA
 
hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania, kila kitu kinawezekana.
 
we acha uongo jaribu kua unafikiri kwanza hakuna mtu aliyekua amechaguliwa na jina lipo kwa wasiochaguliwa hata mmoja
 
msipate tabu nawapa mfano hai kuna jamaa anaitwa hussen mebu amechaguliwa udom coz ya medicine na ukienda kwa waliokosa vyuo pia yupo. Usibishe jamaa yuko right
 
msipate tabu nawapa mfano hai kuna jamaa anaitwa hussen mebu amechaguliwa udom coz ya medicine na ukienda kwa waliokosa vyuo pia yupo. Usibishe jamaa yuko right

bora umemuambia,mwingine anaitwa moses nanyaro yuko udom ila jina lipo kwa waliokosa chuo
 
Kuna watu wamechaguliwa chuo na kwenye watu waliokosa chuo wapo,so usishangae ukakosa jina lako kwa waliokosa chuo na waliopata chuo!
ITATOKEA

Mbona ni jambo la kawaida kwa unqualified kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…