Uchaguzi 2020 Usijidanganye kutoa rushwa, unapotea na unapoteza pesa yako

Lakini bado chama hakijaamua, jpm anamtumia polepole kuzuia wagombea urais kupitia ccm kuomba ridhaa kwenye chama ili abaki peke yake mgombea ndani ya ccm.wanaccm wanalalamika chinichini.
Utaratibu wa CCM uko wazi. Mwana CCM ambaye ni Rais akimaliza kipindi kimoja anapewa nafasi ya kugombea "bila kupingwa" kipindi cha pili.
 
"Biashara" ya siasa awamu hii hakuna, bora wanunue mashamba huku katavi na kulima korosho!
 
Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu wa CCM uko wazi. Mwana CCM ambaye ni Rais akimaliza kipindi kimoja anapewa nafasi ya kugombea "bila kupingwa" kipindi cha pili.
Huu utaratibu ni takwa la kikatiba?
Na umeanza lini?
 
Huu utaratibu ni takwa la kikatiba?
Na umeanza lini?
Utaratibu huwa hauwekwi kwenye katiba mzee. Ila Kuna kuwa na kanuni za uchaguzi wa viongozi wa chama na serikali. Kuna kanuni za maadili ya chama etc. Ambazo hubadilika kutokana na wakati.
 
Utaratibu huwa hauwekwi kwenye katiba mzee. Ila Kuna kuwa na kanuni za uchaguzi wa viongozi wa chama na serikali. Kuna kanuni za maadili ya chama etc. Ambazo hubadilika kutokana na wakati.
Ok, huo utaratibu umeanza lini?
 
OK. Hii haipo kwenye Katiba ya CCM. Ni "utaratibu" ambao haujaandikwa ili unaheshimiwa. Mfano, hata ile ya akitoka Rais "Mkristu" anaingia "Mwislamu" ni "utaratibu" haipo kwenye Katiba. Fuatilia, Nyerere aligombeaga na nani? Mwinyi aligombea na nani? Mkape je? Kikwete?

Pia angalia, alipotoka Mwl. Nyerere (Mkristu) aliingia Mwinyi (Mwislamu), Mkapa (Mkristu), Kikwete (Mwislamu) na sasa Magufuli (Mkristu).
 
Pole sana Mkuu, subiri mchakato uanze...sioni namna ccm itaondokana na rushwa kwa uchaguzi Wa Mwaka huu.muda utasema
Pole ya nini..unaweza kuwa hujui aina ya viongozi wa ccm waliopo sasa..unaishi kwa mazoea, ccm hii c ile ya miaka ya nyuma, mbona mambo mengi yamebadilishwa, hili la uchaguzi ndio unadhan hawawez simamia wnachosema..lbd unaota ndoto na kujifariji kwa mazoea..umechelewa.
 
VIPI UPANDE WA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS?
 
Acha uwongo
 
Kama ni kweli mchakato huu Kama utafatwa bila kuingiliwa wahamiaji haramu wakatafute kazi zingine.
Tegemeo lao kuu ni maagizo nje ya maagizo mkataba wao umeshaisha
 
Pole sana Mkuu, subiri mchakato uanze...sioni namna ccm itaondokana na rushwa kwa uchaguzi Wa Mwaka huu.muda utasema
Ccm inamiliki kila kitu inamiliki rushwa, inamiliki mahakama, inamiliki takukuru
 
Kwani mwenye chama hawezi weka influence yake ili kuvuruga mchakato
 
Wale wabunge toka upinzani hawakupewa rushwa kweli!! Tuone Kama wsnapendwa na jamiii zao this season.
 
Vizuri sana, Huu michakato umekaa vyema kabisa. Tanzania mpya inakuja mdogomdogo tutafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…