figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wajanja sana.Hukuyaangalia wakati wa kununua
Hahaa pole sana,ndo tabia zao wauzaji wa matunda. Mie pia ilishanitokeaHabari yenu wakuu,
Nmependa nitumie jukwaa hili kutoa angalizo moja ambalo nina ushuhuda nalo.
Mara nyingi watu hupenda kwenda Sokoni kununua Matunda kwaajili ya kutengeneza Juice majumbani kwao. Na ukifika pale Sokoni swali utakalokutana nalo ni:
Unataka matunda ya juice au ya kula Kawaida?
Hili swali wengi huwa wanajichanganya. Wanasema nipe matunda ya juice.
Ukifika nyumbani wakati wa kutengeneza ndo unaipatapata. Sababu matunda yote yaloharibika ndo utawekewa. Siku nmenunua matunda pale Buguruni nliipatapata. Sirudii tena.
Hivyo basi usithubutu kukutwa unaagiza matunda ya juice.
Mwenzenu nmetubu
Kuwa makini ujanja wao usikufanye ushindwe kukagua vitu ulivyonunua kwaoWajanja sana.
nahisi alikuwa bize na simu huyu akapigwa kanjanjaHukuyaangalia wakati wa kununua
mie huchagua mwenyewe sichaguliwi na ninaweka kwenye mfuko mwenyeweHahaa pole sana,ndo tabia zao wauzaji wa matunda. Mie pia ilishanitokea
Chapombe huyo sio mtu wa juice
Hiyo picha sio yenyewe takuletea OG, between umenikumbusha nyanya za salo kariakoo na huko buguruniHabari yenu wakuu,
Nmependa nitumie jukwaa hili kutoa angalizo moja ambalo nina ushuhuda nalo.
Mara nyingi watu hupenda kwenda Sokoni kununua Matunda kwaajili ya kutengeneza Juice majumbani kwao. Na ukifika pale Sokoni swali utakalokutana nalo ni:
Unataka matunda ya juice au ya kula Kawaida?
Hili swali wengi huwa wanajichanganya. Wanasema nipe matunda ya juice.
Ukifika nyumbani wakati wa kutengeneza ndo unaipatapata. Sababu matunda yote yaloharibika ndo utawekewa. Siku nmenunua matunda pale Buguruni nliipatapata. Sirudii tena.
Hivyo basi usithubutu kukutwa unaagiza matunda ya juice.
Mwenzenu nmetubu
Aisee sina budi kuwa makini rafiki.
Niombe radhi mkuu.Chapombe huyo sio mtu wa juice