Usijisifie mke wako anafanya kazi nzuri hela ya mwanamke ni yake tu.

Mufassa

Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
18
Reaction score
41
Kwa wale ambao wanaishi na wenza wao ambao wapo katika ajira au biashara na wana kipato kizuri watakuja kushudia namna ambavyo wenza wao wana mchango kiasi gani katika maendeleo ya familia.
Kwa asilimia kubwa mwanamke akiwa na kipato huwa anakuwa na mchango mdogo katika familia hii hupelekea baadhi ya wanaume kuwa na mtazamo hasi kwa wenza wao lakini ukweli ni kwamba kwa asili Mwanamke sio role yake kuwa provider katika familia hio ni kazi ya wanaume.
 
Ndio maana tunawanyooosha kama unataka Ndoa au KAZI. Lazima uchague kimoja. Wanawake wanaofanya KAZI uaminifu ktk Ndoa ni mdogo sana
 
Nyie wanaharakati wa kiume tafuteni hela acheni kuchungulia chungulia pochi za kina mama......
 
Back
Top Bottom