proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k
Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia changamoto mbalimbali hadi unajiuliza kwa nini mimi tu? usikate tamaa pambana tu.
Wapo wenye changamoto za kiafya, mwingine ni kilema, mgonjwa wa kudumu lakini anapambana na kuishi.
Kuna wakati ukijitazama unatakiwa useme "Ee Mungu nashukuru kwa kunipa pumzi"
Shukuru jinsi ulivyo, wapo wanaokutamani. Cha msingi usiache kuomba dua.
Ukipata ugali ukala ukashiba lala, fanya unachokipenda, mazuri yanakuja zaidi. Usikate tamaa
Willium shake spare aliwahi kusema " 𝐈 𝐜𝐫𝐢𝐞𝐝 𝐰𝐡𝐞𝐧 𝐈 𝐡𝐚𝐝 𝐧𝐨 𝐬𝐡𝐨𝐞𝐬 𝐛𝐮𝐭 𝐈 𝐬𝐭𝐨𝐩𝐩𝐞𝐝 𝐜𝐫𝐲𝐢𝐧𝐠 𝐰𝐡𝐞𝐧 𝐈 𝐬𝐚𝐰 𝐨𝐧𝐞 𝐰𝐢𝐭𝐡𝐨𝐮𝐭 𝐥𝐞𝐠𝐬".
Ipo miziki, picha za kuvutia, na nukuu (quotes) za watu mbalimbali za kutia moyo usisite kutuma hapa.
Usisi ku-follow Nofap
wako proton pump a 𝑝𝑠𝑦𝑐ℎ𝑜𝑡ℎ𝑒𝑟𝑎𝑝𝑖𝑠𝑡. Njoo PM kwa maelezo zaidi.
Moderator naomba undoa neno tetesi kwenye heading