Tetesi: Usijisikie kukata tamaa sasa karibu humu ndani tupeane moyo kwa kutuma picha na mziki unaojenga ubongo, pia kutoa maoni yanayojenga afya

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k

Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia changamoto mbalimbali hadi unajiuliza kwa nini mimi tu? usikate tamaa pambana tu.

Wapo wenye changamoto za kiafya, mwingine ni kilema, mgonjwa wa kudumu lakini anapambana na kuishi.

Kuna wakati ukijitazama unatakiwa useme "Ee Mungu nashukuru kwa kunipa pumzi"

Shukuru jinsi ulivyo, wapo wanaokutamani. Cha msingi usiache kuomba dua.

Ukipata ugali ukala ukashiba lala, fanya unachokipenda, mazuri yanakuja zaidi. Usikate tamaa

Willium shake spare aliwahi kusema " ๐ˆ ๐œ๐ซ๐ข๐ž๐ ๐ฐ๐ก๐ž๐ง ๐ˆ ๐ก๐š๐ ๐ง๐จ ๐ฌ๐ก๐จ๐ž๐ฌ ๐›๐ฎ๐ญ ๐ˆ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ฉ๐ฉ๐ž๐ ๐œ๐ซ๐ฒ๐ข๐ง๐  ๐ฐ๐ก๐ž๐ง ๐ˆ ๐ฌ๐š๐ฐ ๐จ๐ง๐ž ๐ฐ๐ข๐ญ๐ก๐จ๐ฎ๐ญ ๐ฅ๐ž๐ ๐ฌ".
Ipo miziki, picha za kuvutia, na nukuu (quotes) za watu mbalimbali za kutia moyo usisite kutuma hapa.
Usisi ku-follow Nofap
wako proton pump a ๐‘๐‘ ๐‘ฆ๐‘โ„Ž๐‘œ๐‘กโ„Ž๐‘’๐‘Ÿ๐‘Ž๐‘๐‘–๐‘ ๐‘ก. Njoo PM kwa maelezo zaidi.
Moderator naomba undoa neno tetesi kwenye heading
 

Attachments

  • FB_IMG_1711196323562.jpg
    30.4 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1711032992356.jpg
    26 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1710921468357.jpg
    42.6 KB · Views: 12
Safi
 

Attachments

  • FB_IMG_1692416823996.jpg
    51.5 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1692430595282.jpg
    26.7 KB · Views: 11
Okay
 

Attachments

  • 255672378019_status_dd5646a0cff14459923fc60303ca9172.jpg
    39.1 KB · Views: 10
  • 255654957376_status_269c01bfdea349dd9e3ec812da244292.jpg
    33.1 KB · Views: 9
  • 255765039904_status_7834cb4209f145ba876f763a6f037a23.jpg
    20.3 KB · Views: 9
  • 255656754053_status_4d72643eece644628bea341c1c9f006b.jpg
    67.2 KB · Views: 10
Ebungoja kwanza nione kama hizi picha zitafika...
 

Attachments

  • 1667140423666.png
    142 KB · Views: 9
  • JamiiForums-1075771540.jpg
    66.2 KB · Views: 8
  • tapatalk_jpeg_1568211858235.jpeg
    18.3 KB · Views: 8
  • f3a60414519a94be5c00a6981827e4ba.jpg
    73.6 KB · Views: 8
  • 9d7fcee57d02bfa16e6b749b26ff402e.jpg
    28.6 KB · Views: 8
  • JamiiForums-1714439195.jpg
    13.3 KB · Views: 9
  • JamiiForums77508547.jpeg
    130.5 KB · Views: 9
  • download (8).jpg
    9.2 KB · Views: 8
  • downloadfile-1.jpg
    168.2 KB · Views: 9
Maisha yana kupanda na kushuka ishi maisha yako ya wengine usiyatamani maana hujui yalipatikanaje,,, pambania ndoto zako usikubali kurudishwa nyuma. Jichanganye na watu na usiwadharau au kujiona bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ