STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Usione watu wanapenda kuvaa High Heels hata
kama kaalikwa kwenye Ubarikio..Kipai
mara.Komunio.. ye anagonga high heels tu.. Sio kama
Wanapenda..Wengine zinawasaidia angalau
waonekane nao wamo maana udongo wa Shepu
uliishia nusu. Mtu kiatu kinamuumiza kwa kutembea nacho juujuu muda mrefu lakini havui, yuko radhi
atembee kama Ndama lakini angalau kijungu kiwe
promoted na viatu virefu.. Ukiona mtu ana high
heels na bado kijungu hakionekani ujue hiyo Ni SONY
WEGA 56 inches...Aliangukia bafu la Manispaa ya Jiji!
Shkamooni!