Dee Mallz
Member
- Jan 19, 2017
- 30
- 22
HAPPY VALENTINE DAY Leo sasa kama hujawekwa profile picture usipaniki kunywa maji mengi nenda kukojoa[emoji23] ukikuta no call wala text kunywa maji mengi kakojoe[emoji23][emoji23] UKIZIMIWA CM KAMA MIMI usipaniki kunywa maji mengi kakojoe[emoji23][emoji23] ukimfumania leo mpenzio sepa usigombane nae kunywa maji mengi kakojoe [emoji23][emoji23]maji yanasaidia kupunguza hasira kumbuka kuna maisha baada ya Leo. Japo mimi roho inaniuma kuzimiwa cm mapema toka asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HAPPY VALENTINE DAY