OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usajili mkuuuuubwa wa Straika unakuja kuziba pengo la Okwi
Huo ukuta unaozungumza ndio umeruhusu magoli machache vpl na simba ina clean sheet nyingi tu katika ligi so far kwa level ya ligi yetu defence haina mapungufu kama unavyotaka kutuaminishaKwa ukuta ule nikajua mwamnyeto au mid ya chini m1 matata kumbe kichuya [emoji23]!
Sent using Jamii Forums mobile app
Clean sheet za tigo pesaHuo ukuta unaozungumza ndio umeruhusu magoli machache vpl na simba ina clean sheet nyingi tu katika ligi so far kwa level ya ligi yetu defence haina mapungufu kama unavyotaka kutuaminisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap nimepata taarifa mkuu