Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa experience yangu nimegundua kuwa kuna dhambi mtu akifanya tu kama hajatubu automatically anakuwa ameanza kufa ndani hivyo maisha yake yanapunguzwa au kukatwa kabisa. Siwezi kukuorodheshea aina ya dhambi za mauti ila jitahidi kuepuka dhambi. Kuna dhambi ukiitenda tu mbingu zinaandika kuwa umefanya dhambi ya mauti baada ya hapo kitakachofuata ni kifo.
Wengi sana wamekufa pre mature kwasababu ya dhambi.
Wengi sana wamekufa pre mature kwasababu ya dhambi.