Usikojoe hapa

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
195
Kulikuwa na kijana mmoja alikuwa hajui kusoma sasa kuna kibao kilikuwa kinasema hivi tafadhali usikojoe hapa yeye akabanwa akaenda hapo akakojoa alipomaliza sehemu za siri zikaanza kuwasha kumbe pale palimwagiwa kitu kama muwashoo akawa anakimbimbia kila mahali akatokea mvuta bangii mmoja akamuuliza nini ?
Akamuonyesha pale nilikojoa sasa na washwa sanna huku yule mvuta bangi akamuambia hujui pale pameandikwaje usikojoe hapa wewe umekojoa mkubwa hivi hujui kusoma serikali hii kamshika mkonoo akakata fimbo alimtandika yule kijana mpaka akapona yaani nilicheka mpaka sina mbavu kuulizwa yule mkaka akasema yote kila mtu aliangua kichekoo.
 
Na wewe unazisaka mbavu zako eti?
 
Hivi wewe ukiangalia kwa makini inachekesho hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…