Mpaka Ngapi?Bei imeshuka
Miaka miwili tangu inunuliwe halafu ina namba DDF??
Yuko sawa, inategemea ameinunua kutoka wapiNina gari DJT ina miaka 3 na nusu hivi toka niinunue sasa nashangaa hiii
Usiwe mjuaji kumbe hujui, Nina gari namba D ya 2O15
Hapa Kuna vitu viwili tofauti, kununuliwa na kusajiliwa.Sijakataa mimi..
Ila namba DDF iwe miaka miwili tangu inunuliwe?? Sio sahihi..
Read between lines, hatugombani, tunaelekezana tu.
Stay safe.
Yani wewe ndio wa kupunguziwa bei ? Badala umuongezee hata na ka laki tano4.5 huchukui kaka?
Hii terrios ilikua inauzwa pamoja na rav 4 old zote mbil 7mNi model gani? Terios au?