sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Kaenda leo Julius Mwita Power breakfast ya clouds, kapigwa maswali anazunguka tu. Waliopiga simu kwenye kipindi wamempaka sana. Mwishoni anajiliza kwamba Bulling wanazofanyiwa mitandaoni sio sawa. Inshort amejua wananchi wamesimama na msimamo wa chama, sio hao waliohongwa.View attachment 3297124
Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast.
Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko.
Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa hususani upinzani na kupinga kwa nguvu zote udikteta uchwara.
Lissu alisema Mbowe kauza chama kwa Abdul ila leo hii chama anacho yeye anakiongoza hakipo kwa Abdul.Washahogwa Hawa anewei Hana maisha marefu na ajenda zao zitapita na mambo yataenda sawa
Vumilieni uhuru wa maoni kutoka kwa kila mwanachama. Lissu alivumiliwa alipoita maridhiano ni upumbavu.Kaenda leo Julius Mwita Power breakfast ya clouds, kapigwa maswali anazunguka tu. Waliopiga simu kwenye kipindi wamempaka sana. Mwishoni anajiliza kwamba Bulling wanazofanyiwa mitandaoni sio sawa. Inshort amejua wananchi wamesimama na msimamo wa chama, sio hao waliohongwa.
Nani anatatizo na yeye kutoa maoni yake? Hata akitaka alale hapo studio ni haki yake. Na ikibidi wakodishiwe ndege waanze kuzunguka mikoani kufanya kazi waliyotumwa na ccm.Vumilieni uhuru wa maoni kutoka kwa kila mwanachama. Lissu alivumiliwa alipoita maridhiano ni upumbavu.
Mawazo mbadala sio kuhongwaWashahogwa Hawa anewei Hana maisha marefu na ajenda zao zitapita na mambo yataenda sawa
Endelea kuishi kwa kukariri. Mjini hapa.Mawazo mbadala sio kuhongwa
Nani amsikilize huyu pandikizi na dalali?View attachment 3297124
Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast.
Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko.
Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa hususani upinzani na kupinga kwa nguvu zote udikteta uchwara.
Wakati kina Lissu wanakosoa uongozi wa Mbowe walitumwa na nani?Nani anatatizo na yeye kutoa maoni yake? Hata akitaka alale hapo studio ni haki yake. Na ikibidi wakodishiwe ndege waanze kuzunguka mikoani kufanya kazi waliyotumwa na ccm.
Walitumwa na sisi wananchi wazalendo. Hao G55 watatolea hizo hela za ccm kwenye tundu baya.Wakati kina Lissu wanakosoa uongozi wa Mbowe walitumwa na nani?
Basi tulieni dawa iingie vizuri ndio kwanza kunaanza kukucha.Walitumwa na sisi wananchi wazalendo. Hao G55 watatolea hizo hela za ccm kwenye tundu baya.
Lazima jamii ipewe elimu kuhusu ajenda mbovu za lissu na machawa wake.Anajidhalilisha kinoma.
Wamejimaliza kama Dr Slaa?Hawa vibaka wote wa G55 ndiyo wamejimaliza kisiasa labda waende chama kingine lakini kwa Chadema wamekwisha jifungia milango ya kuchagulika,hata reforms zikifanyika na uchaguzi ukafanyika hawa watapugwa chini kwenye kura za maoni yaani wanachofanya ni political suicide,kama kuna wenye akili wajitoe haraka na kutubu kabla hawajachelewa,wananchi wamekwisha kuwa blacklist
😁😁😁Najua moyoni unajua moto wa LissuLeo yenyewe mitandaoni ni hizoo media feki tu huko twitter hkna aliekua na hbr nae yni watu wamemuignore htri..
Takataka