usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele


Nitajie kifungu cha sheria katika katiba ya Tanzania kinachozungumzia hili unalolipigia debe. Ongea point kama Mnyika vile sio unapiga kelele kama Seif Sharif
 
Kumtapeli mtu ni kukulipa pesa halafu usimpatie kitu au kumuuzia mtu Cheni bandia
Jee yuko mtu alowahi kunilipa au kumlipa muuzaji yeyote kati ya hawa uliowataja then asiwapatie kile anachokiuza?
 
Last edited by a moderator:
tena jamaa anatakiwa apigwe ban mana bado anaendeleza utapel humu huyu munjy1.
Hebu anzisha kampeni ya kiwa nipigwe ban na JF halafu tuone utapata support, sijavunja masharti na vigezo vya JF na ndio maana naendelea kuwepo ila niliahidi tu sitacomment kitu Chochote kuhusiana na ninachouza na ndio nikaweka link ya blog yangu na nikaweka na namba za simu katika blog yangu.
 

Kikikata world cup nitafute nikupe tunzo yako milioni 1. Waswahili wanasema wewe ukikiponda mwenzako anaomba dua akipate. Tumieni google search muone hivi vitu vinavyosifiwa Ulaya, Marekani, Asia na Africa wapondaji wakubwa ni wa TZ kama wewe ambao hata tanesco unalipia kihalali na umeme unapozimwa unabaki kulalamika bila kuchukua hatua na ndio maana hatuendelei. Maji unalipia halali na unakaa wiki 3 au miezi mitatu hayatoki na ikifika siku ya kulipa wanakuja kukata huna hatua unayochukuwa. Ila dhambi tukifanya sisi ambao tunajitahidi kusaidia watu kulipia bei nafuu.
 
Hujamtendea haki munjy1 kwa kumuita tapeli na mwizi maana hajawai kumuibia au kumtapeli mtu. Ukinumua haya madude ya kichina hayana mkataba, kila mnunuaji analijtambua hilo. Ukitaka uhakika nunua ds*tv.
Kaka usijali hayo majina ni kitu cha kawaida hawajaanza wao walianza Wakiristo kumwita Yesu mchawi na wakafikia kumsulubu msarabani lakini hadi leo wanamfuata na sote tunamkubali kuwa ni mtume wa Mungu. Aliitwa Muhammad mchawi na kutukanwa hadi na wajomba na Ami zake na hatima yake mpaka leo tunamkubali kama ni mtume wa Mungu. So wasikushughulishe wala usibishane nao
 

njunwa wamavoko nashindwa kuchangia chochote maana ushamaliza kila upande na mwenye akili timamu basi wala hatarudi nyuma na wala hataenda kununua premium ya dstv atawafuata wachina. Heshima yako mkuu nakushauri wala usiwajibu hawa wanaongea maneno ya kejili na kifedhuli ila tuwajibu wanaouliza maswali yenye akili na ukizingatia hili ni Jukwaa la Tech. But pia tusiwawekee wazi kila kitu humu kwa kuwa wengine ni vibaraka na ndio maana mimi katika blog nimeweka moderation ya comments. Tuongee only vitu vyenye manufaa kwa watumiaji na wanaotaka kuanza kutumia.
Heshima kwako sana
 
Last edited by a moderator:

dah yani ela umekula na bado unasema tuna maneno ya kifedhur dah ubarikiwe na uongezewe ulipopungukiwa wengne matus hatuwez. asante sn.
 
Last edited by a moderator:

Mnasifiana ujinga wewe na njuwa shame to you
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawa majizi mawili yanapongezana hayatupati tena

Hamna lolote nyie ni wivu wa kike ndo unawasumbua mmeona jamaa kapiga hela ya maana ndo mnawattack bila sabab za msingi..km unajitambua kuwa unaibiwa mbona humjawashambulia mafisad waliolundika pesa zenu Uswiz? MTU yeyote anaejua vizur technologia hii hawez kumshambulia Munjy kamwe..In fact hamjui lolote ndo maana mnareact ovyo ovyo!!
 
hivi QSAT bila ya kununua account ya mwezi, haiwezi kutumika kama FTA receiver kupata channels? Njunwa
 
Last edited by a moderator:
Hiv ukinunua Simcard kwa Wakala wa mtandao husika na ukasajiliwa then ukaanza kutumia baadae unaambiwa namba unayopiga haipo au haipatkan au inatafuta mpaka inafail!! je utamlaumu nani??
 
kwenye dongle uwezi kunitoa. Hawa makaburu wachangieni nyie mie ni full kuchakachua. Munjy1. M2n. Njwuna wamavoko .paje endeleheni kuleta updates za qsat.g6.na xmasta hawa walopokaji wametumwa na makabulu tena wamepewa buku 7 hawa achaneni naooooo....
 
Naitaji maelekezo ya kuweka new account ya avatarcamhd kwenye xmaster 2......?
 

kosa vtu vyote pewa UPEO, fedha za uswis wap na wap na haya? yote ya yote username yako tu tayar inaonyesha kuwa upo kundi la mbwa mwitu. hapa hakuna michakatoh nenda vijiwen huko.
 
Hiv ukinunua Simcard kwa Wakala wa mtandao husika na ukasajiliwa then ukaanza kutumia baadae unaambiwa namba unayopiga haipo au haipatkan au inatafuta mpaka inafail!! je utamlaumu nani??

mfano umekaa kimchakato.
 
hivi QSAT bila ya kununua account ya mwezi, haiwezi kutumika kama FTA receiver kupata channels? Njunwa

Qsat ni Mpeg4 receiver unaweza kuitumia kama FTA kulingana na size ya dish na uelekeo uloweka. Soma maelezo ya numa haoo aliweka Njunwa wamavoko. By the way Qsat hawauzi account za mwezi bali ni mwaka 1 na unapoingia katika setting menu unaona expire date.
 
Last edited by a moderator:
Naitaji maelekezo ya kuweka new account ya avatarcamhd kwenye xmaster 2......?

Mtafute njunwa wamavoko atakuelewesha but mean time usije ukaweka account kwanza mpaka uibadilishe software hiyo xmaster na kuweka Rom ya Qsat. Njunwa anaweza kukupatia vyote hivyo plus hizo account hata kwake utapata kwa bei nafuu kidogo kulinganisha na bei za China za hizo avatarcam, naongea hivyo kumaanisha anachukuwa account nyingi anapata punguzo la bei na ndio maana anauza bei nzuri ukiingia kwa wanigeria avatarcam hazishikiki bei juu kiyama.Hata kwangu avatarcam itakuwa bei kubwa maana sina hizo account kwa sasa na ukinunua 1 tu kwa wachina ni maumivu tena hususan sahivi Kombe la dunia lipo karibu ila hiyo account hata kama itauzwa dola 100 kwa mwaka basi ni cheaper mara 200 kulinganisha na mkaburu
 
Last edited by a moderator:


Huyu njunwa wamavoko anafafanua kwa busara utadhani biashara hii ni yake kumbe ni mdau tu....mkuu munjy1 jifunze lugha ya staha na ujitahidi kujibu hoja maana wengine sio wateja wako ila lugha utumiayo na customer (s)care yako inaweza kutuvuta au kutukimbiza.
big up njunwa wamavoko
 
Last edited by a moderator:
Kumtapeli mtu ni kukulipa pesa halafu usimpatie kitu au kumuuzia mtu Cheni bandia
Jee yuko mtu alowahi kunilipa au kumlipa muuzaji yeyote kati ya hawa uliowataja then asiwapatie kile anachokiuza?
Utapeli ni pamoja na kutoa maelezo ya uongo ili kurahisisha uvunaji wa fedha halamu! Mfano tangazo hili unawapa uhakika kua utendaji kazi utakua 100% wakati ni 40% tena kwa mazabe. Kuna ----- amemtaja Arselona anauza strong kwa 250k, ni bora ununea hiyo maana hamna ulaghai.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…