deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
vijana wote hapa mtaani kwetu wananiheshimu kisa nina 'SUPA SPOTI' bila hivi vidude nisingeweza kuangalia 'LA LIGA' hongereni munjy1, m2n, na njunwa wamavoko!
Mkuu deecharity acha kubishana na hawa wezi!!! Popote nitakapomuona huyu tapeli munjy1 Huku bara lazima nimuitie polisipole km umeshindwa kujijengea heshima mwenyewe hapo mtaan hadi hao dstv wamekuja kukujengea.
Wewe tapeli la kipemba tulia sindano ikuingie
Mkuu deecharity acha kubishana na hawa wezi!!! Popote nitakapomuona huyu tapeli munjy1 Huku bara lazima nimuitie polisi
Halafu hebu punguza kelele. Lete G6 hiyo tuinunue sisi halfu katufute ya kaburu utumie kila mwezi uwe unatuekea picha hapa tujue kwamba unaendelea kutumia na unamudu bei zao.Mkuu deecharity acha kubishana na hawa wezi!!! Popote nitakapomuona huyu tapeli munjy1 Huku bara lazima nimuitie polisi
Halafu hebu punguza kelele. Lete G6 hiyo tuinunue sisi halfu katufute ya kaburu utumie kila mwezi uwe unatuekea picha hapa tujue kwamba unaendelea kutumia na unamudu bei zao.
Wewe tapeli muda wako umefika ulivuna sana wakati tulipokuwa mazuzu wewe na tapeli mwenzio Njunwa ManyokoHalafu hebu punguza kelele. Lete G6 hiyo tuinunue sisi halfu katufute ya kaburu utumie kila mwezi uwe unatuekea picha hapa tujue kwamba unaendelea kutumia na unamudu bei zao.
Huyu tapeli hata mimi kanitumia sms kwa kutumia namba hii +16504584968 sasa hivi kesha changanyikiwa hana mnunuaji mwaka huu ndio mwisho wake umefika. Kuna kipindi alikuwa anajifanya anataka anunue server yake lakini tuwe tunamlipa 40,000/= kwa mwezi watu wakamshtukia anajisahau biashara anayofanya kama sio haramu pambaf kabisa huyu mpembaeeh we nae km litoto sasa mtu alipie aanze kuweka picha hapa kwani anashindana na mtu?? hv kwa akil yakawaida kuna mtu ana huo muda wa kuweka hyo picha eti kisa watu wajue kuwa analipia.. yani we jamaa unajifanya mjuaj ila ukwel ni unaufinyu wa mawazo na utapeli umekujaa.. na ulisema mimi haukuniuzia hz rcva na akanikana na kuniita fedhuri hapa jamvn nashangaa asubuh umentumia tena kisms cha mnada wa makopo yako sasa namba yangu ulipata wapi? umeona watu wamekushtukia sasa unauza kwa mnada kwenye hilo kundi ulilotengeneza ili uwapige vizur sio. utapel unamwisho na mwisho huwa mbaya.
Huyu tapeli hata mimi kanitumia sms kwa kutumia namba hii +16504584968 sasa hivi kesha changanyikiwa hana mnunuaji mwaka huu ndio mwisho wake umefika. Kuna kipindi alikuwa anajifanya anataka anunue server yake lakini tuwe tunamlipa 40,000/= kwa mwezi watu wakamshtukia anajisahau biashara anayofanya kama sio haramu pambaf kabisa huyu mpemba
Mkuu huyu jamaa anatakiwa ashauriwe aanzishe biashara nyingine vinginevyo siku zinavyokwenda lazima watu tumtie kibiritidah huyu jamaa kumbe noma na mimi alinitumia hyo ya sever eti alisema anataka nunua sever ya pekeake huko china kwa milion 140 nilishangaa sn eti sisi kwa mwezi tumpe hyo alfu 40 then channel zitatulia alivyoona watu tumenyamaza wazo likafa. ni kitu cha ajabu sn mtu kukaa unabuni njia za utapel alinza na tununue akaunt, akaja na kumilik sever, sasa kombe la dunia linakaribia kaja na njia mnada wa vikopo vyake na baadae atajinadisha hadi mwenyewe sasa akiona milango ya utapel imejifunga na watu watakununua shaur yako.
Tena aliondoaga thread yake kwa mbwembwe humu jukwaani eti Mod wanambania na kuamua kuanzisha blog yake binafsi tena akasema hatajibu wala hatatoa taarifa yoyote kupitia Jamii Forums. Sasa amegundua kua shamba lake lipo JF maana blog lake halina watu ameamua kurudi hapa tena kwa thread mpya. Tena wakati mwingine mtaji temempa wenyewe maana tulikua tunalipa in adv halafu anatuona sisi mafal.a, kama anaona biasha yake halali atuoneshe ofis yake tupeleke malalamiko yetu hapo, kama hana ofisi jiandaeni kulia.
Mkuu sasa hili tapeli munjy1 alifanya ndio kazi ya kudumuhaya mambo ya sharing thrue satellite au internet ni mambo yote ya wizi tu jamani amini kabisa. siku ikibadilika system inakua hamna ujanja tena ila kuambiwa subiri itarudi tu.
kama ulivyo sema hii biashara ni ya kitapeli dongle unaweka kweli wewe na bahati yako hua inachukua miezi 3 , 6 mpaka mwaka lakini ikikatika anytime inabidi usubirie update mpya au ndio ununue tena dongle ingine. si shauri mtu kutumia sana system hii.Mkuu sasa hili tapeli munjy1 alifanya ndio kazi ya kudumu
unajua kuwa kwa kutumia "who is" inaweza kukutia mbaloni fasta