deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
We huna G6 wala G7 usinipotezee muda waulize wenzako wangapi nishawatumia account zao bure?? Hivi unadhani mie nimeanza kuwapa account leo au jana. Tulia wewe huna lako jambao thread yangu imeshajieleza kuwa nimeacha kila kitu including sms notifications hivi unadhani mie nawasiliana na wateja kwa sms tu? Wenye whatsapp tushawasiliana wenye viber tayari wenye email nishawasiliana nao wengi ambao hawajapata account ni wa JF sasa sidhani kuwa una uzalendo kiasi chote hicho cha kusamehe account eti kisa sitawatendea haki na wengine, kama una uzalendo huo zamani sana ungeacha kuropoka humu eti unaelimisha watu wasitapeliwe. Kama kweli ni mteja wangu weka Serial namba za decoder zako zote hapa hadharani basi hakuna tena PM sasa.
Wewe tapeli munjy1 namba zetu za simu na serial no ya hayo makopo unavyo kinacho kushinda kutuma hizo accounts nini? Mpaka tukutumie kwa kutumia id za JF au unataka utujue kwa njia hii? Pambaf sana danganya wapemba wenzio
We ------ unafikiri katiba inaandika kila kosaumeambiwa utaje kifungu cha sheria . hilo gazeti uliloliandika hapo halina jibu. toa kitu short and clear. kifungu gani cha sheria??
Can't go that lowwacha ubaguzi. UNA violet JF terms of use.
Sasa wewe panya hebu nikuulize account bila ya kunipa email address yako nakutumia kwa makalioni kwako ama? Jee bila kunipa serial number vp nitahakikisha kama ni mteja wangu. Nawaomba msinipotezeeni muda na itapofika tarehe 1 sijapokea details nilizotaka yaani nadiriki kuwaita mapimbi wote msinitafute ambao nimewapa agizo la kutuma details nilizotaka sasa endeleeni kuchonga mimi yangu yananiendea na wenzenu pia yanawaendea. Endeleeni tu na ujinga wa abuu jahil.Wewe tapeli munjy1 namba zetu za simu na serial no ya hayo makopo unavyo kinacho kushinda kutuma hizo accounts nini? Mpaka tukutumie kwa kutumia id za JF au unataka utujue kwa njia hii? Pambaf sana danganya wapemba wenzio
Sasa wewe panya hebu nikuulize account bila ya kunipa email address yako nakutumia kwa makalioni kwako ama? Jee bila kunipa serial number vp nitahakikisha kama ni mteja wangu. Nawaomba msinipotezeeni muda na itapofika tarehe 1 sijapokea details nilizotaka yaani nadiriki kuwaita mapimbi wote msinitafute ambao nimewapa agizo la kutuma details nilizotaka sasa endeleeni kuchonga mimi yangu yananiendea na wenzenu pia yanawaendea. Endeleeni tu na ujinga wa abuu jahil.
dini ya kikristo inasema akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia akupige, ila mimi dini yangu inasema Pua kwa pua na Jicho kwa Jicho, najua mteja ni mfalme ila kumbuka utakaponitusi mimi au ukabila wangu ama utaifa wangu ama dini yangu usitegemee kabisa kuwa nitakugeuzia shavu la kulia upige bali itakuwa ni Jicho kwa Jicho, naomba wote walielewe hili. Mimi kila siku nawaambia watu washukuru kuwa hata kuna watu kama sisi na kina njunwa wamavoko na wengine ambao huwa tunawapa updates nini kinaendelea na kama kuna software mpya, hapo mwanzoni unanunua dukani baada ya hapo hujui kama kuna software mpya au hakuna na hujui account imeexpire au vp, badala yake unatumia siku 3 unaanza kutafuta mafundi wakutapeli kukuuzia software ambazo ni haki ya mteja kupata bure bali account ni lazima ulipie. Sasa nadhani niliaanza kutusiwa na naendelea kutusiwa na HAWA WATU watatu JAMII FORUMS kwa wenye akili zao basi tayari wanaelewa nini kinachoendeleaNinasikitishwa sana kwa matusi yanayoporomoshwa na munjy1, mbona sioni haja yoyote ya kuporomosha matusi kama haya! Wakati mwingine kubari changamoto maana zitakujenga kumudu hali ambazo ni tofauti na matarajio yako. Watu tunadai haki yetu na wala hatuna la ziada, unapotukana ndio unaongeza shaka zaidi kwa hawa wateja wapya maana unaonekana haupo makini.
Ninasikitishwa sana kwa matusi yanayoporomoshwa na munjy1, mbona sioni haja yoyote ya kuporomosha matusi kama haya! Wakati mwingine kubari changamoto maana zitakujenga kumudu hali ambazo ni tofauti na matarajio yako. Watu tunadai haki yetu na wala hatuna la ziada, unapotukana ndio unaongeza shaka zaidi kwa hawa wateja wapya maana unaonekana haupo makini.
dini ya kikristo inasema akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia akupige, ila mimi dini yangu inasema Pua kwa pua na Jicho kwa Jicho, najua mteja ni mfalme ila kumbuka utakaponitusi mimi au ukabila wangu ama utaifa wangu ama dini yangu usitegemee kabisa kuwa nitakugeuzia shavu la kulia upige bali itakuwa ni Jicho kwa Jicho, naomba wote walielewe hili. Mimi kila siku nawaambia watu washukuru kuwa hata kuna watu kama sisi na kina njunwa wamavoko na wengine ambao huwa tunawapa updates nini kinaendelea na kama kuna software mpya, hapo mwanzoni unanunua dukani baada ya hapo hujui kama kuna software mpya au hakuna na hujui account imeexpire au vp, badala yake unatumia siku 3 unaanza kutafuta mafundi wakutapeli kukuuzia software ambazo ni haki ya mteja kupata bure bali account ni lazima ulipie. Sasa nadhani niliaanza kutusiwa na naendelea kutusiwa na HAWA WATU watatu JAMII FORUMS kwa wenye akili zao basi tayari wanaelewa nini kinachoendelea
katafute kazi ufanye wewe.hakuna hata post moja niliyoandka tusi pitia comment zangu zote uone km kuna sehem nimeandika tusi hata moja. kwanza sijui ht kutumia maneno makal hvyo wengne hatujakua ktk malez hayo. ila nimekupa sifa tatu kuu ambazo kweli unazo. UTAPELI, UONGO na MATUSI sasa km kutaja tabia za mtu ni kumtukana pole. ila inawezekana unatabia ambazo hata mwenyewe hujielew km unazo kaka.
katafute kazi ufanye wewe.
Umaskini wa akili na hela tabu... haha sasa jamaa anatukana hadi wateja!! Kufanikiwa kunahitaji patience na lugha nzuri, mwizi afu bado unahitaji kupata hela, wezi wenzako wanaokupa support unawatukana haha! mtu ka wewe kampuni yangu sijaajiri piga ua
jamii ishakueleweni nyinyi ni watu wa aina Gani Precise Pangolin Mayu deecharity watu watu, mnafanya kisebu sebu na kiroho kiko papo, mnaolalamika ni nyinyi watatu tu, sasa nataka serial number za decoder zenu zote mlizonunua kwangu pamoja na email address zenu, ili niwafute katika database yangu baada ya kuwapatia idadi ya hizo account, wateja wengine hawajalalamika wala hawajaongea kitu chechote, mnanita tapeli la kipemba ila bado mnataka huduma zangu, mimi nataka niwape hizo account zenu nivunje mkataba na nyinyi hata wa kupokea sms notification zangu. Sababu siwezi kuvumilia maneno yenu na sitaki kabisa kuendelea kuwapa huduma ya aina yeyote ile baada ya kuwalipa hizo account mnazodai. Napenda sana niendelee na wale wale ambao hawajapata kulalamika maana kila mmoja anazo namba zangu za simu na malalamiko yao huwa wanapiga simu (na sio jamii forums) na kama naweza kuyatatua basi nayatatua na yanapokuwa nje ya uwezo wangu huwa nawapa jibu kuwa hilo liko nje ya uwezo wangu. Naomba Jamii Isome hili kwa umakini.unahaki ya kuniona sina kazi na sina haja yakujitapa ninakaz au laah sababu halihusian na haki ninayodai hapa. lakin hebu fikiri hivi kweli unaendesha maisha kwa UTAPELI unadhan mwisho wake nini? ukija kukatwa mikono mwanao utamwambia ulikatwa kisa nini au utamdanganya ulikua engineer sasa mashine zikakuta mikono.. aaah sasa huna elimu mana atakuulza dadii vyeti vya hyo taaluma ya engineering viko wapi hapa uta apply UONGO sababu ndio sifa yako ya pili akikubana sana najua uta apply MATUSI mana ndio sifa yako ya tatu. hahaha unamaisha ya ajabu sn we lijamaa, kitu muhim omba msamaha kwa jamii
Dah umejitetea hadi unatia hurumajamii ishakueleweni nyinyi ni watu wa aina Gani Precise Pangolin Mayu deecharity watu watu, mnafanya kisebu sebu na kiroho kiko papo, mnaolalamika ni nyinyi watatu tu, sasa nataka serial number za decoder zenu zote mlizonunua kwangu pamoja na email address zenu, ili niwafute katika database yangu baada ya kuwapatia idadi ya hizo account, wateja wengine hawajalalamika wala hawajaongea kitu chechote, mnanita tapeli la kipemba ila bado mnataka huduma zangu, mimi nataka niwape hizo account zenu nivunje mkataba na nyinyi hata wa kupokea sms notification zangu. Sababu siwezi kuvumilia maneno yenu na sitaki kabisa kuendelea kuwapa huduma ya aina yeyote ile baada ya kuwalipa hizo account mnazodai. Napenda sana niendelee na wale wale ambao hawajapata kulalamika maana kila mmoja anazo namba zangu za simu na malalamiko yao huwa wanapiga simu (na sio jamii forums) na kama naweza kuyatatua basi nayatatua na yanapokuwa nje ya uwezo wangu huwa nawapa jibu kuwa hilo liko nje ya uwezo wangu. Naomba Jamii Isome hili kwa umakini.
Kuna wangapi humu wameharibu remote zao, gprs module boards na main boards na hivo ni vitu vyenye ghrama kubwa kununua na kusafirisha na huwa nawapa buree hizo spare parts bila ya malipo yeyote na hicho ni kitu ambacho hakipo katika makubaliano bali nawafanyia ubinaadamu, wangapi humu wanaharibu decoder zao nawaambia waniletee niwatengezee bila ya kuwalipisha chochote, wengine nawaambia kabisa lipia gharama ya kusafirisha China then ninatumiwa decoder mpya na naitoa China kwa Gharama zangu na nawapa bila gharama yeyote ile ya ziada. Seuze account kitu ambacho nakinunua nakutumiwa kwa email tu hakuna hata gharama ya kusafirisha. Naomba tusichafuane nipeni SERIAL NUMBER na EMAIL zenu niwape account na NIWATOE KATIKA LIST YANGU then nitawaruhusu muongee mtakavyo.
Account ni kitu kidogo sana kwangu kwa wale ambao wananijua personaly na ambao washawahi kukutana na mimi. Wako wengine watatoa ushahidi wa hilo na wengi ambao mpaka kesho wanipigia simu wanataka pdproxyy vouchers na huwa nawagaia bure kama nilivyokuwa nikiziweka voucher humu JF bure na premium accounts bure humu JF wengi tu wamenufaika kwa uwepo wangu.
1. angalia maandishi mekundu, naomba namba ako za simu nikutoe katika sms notifications kwa sababu hakuna umuhimu wa kupokea hizo smsDah umejitetea hadi unatia huruma
Binafsi nakusamehe bure wewe na njunwa manyoko
Vitu vilivyonifanya kuwa mkali ni kauli zako na kunifanya nionekane tapeli
Tuache yaliopita tuongee ukweli tupu
Ahadi:
Ulituahidi acc za mwaka kwa G6
Ulituhakikishia G6 hazitakaa zije kubuma hata siku moja
Matokeo
acc zilikua za miezi 6 na si mwaka
ukaahidi utatoa bure unaleta sound tuuu
G6 hivi sasa zinaonyesha kama bahati nasibu tuchannel kiduchu full kuganda
Sisi wateja wa mwanzo mwanzo ulitudanganya sna mkuu na kutuaminisha ukiwa na ving'amuzi hivi umemaliza wakati ukweli ni kwamba ukiwa na hivi ujue kuona au kutokuona nikawaida,
Hii si kitu useme ununue eti special kwaajili ya world cup hapo utakuwa unadanganya mkuu maana inaweza kukaa mwezi mzima server down......u know that
Si wote watundu wa teknolojia wengine wetu ni watu wa plung and play
Hivi vitu vinataka watundu wa teknolojia lakini kama mwenzangu na mimi kamwe huwezi kupata unacho haidi
Hitimisho
Waambie watu ukweli kwamba hivi vitu vinakwenda kiwizi so anytime wenyewe wakiziba unahitaji muda kuzibua na ni asilimia chini ya 60 ya uhakika wa kuwa hewani chaneli zote
Pia sio bisara kuporomosha matusi kwa wateja wako ambao hawajaridhika hata kama wao wanatoa maneno ya maudhi binafsi nimetukana baada ya wewe kuanza kushusha matusi mazito
Hataka kama dini yako inakuruhisu lakini changanya na zakwako maana sidhani kama dini yako inaruhusu kutoa huduma unayotakiwa kuilipia kihalali lakini ina bypass
Nilisha uzaga hiyo g6 baada ya kutotimiza nilicho tarajia sina habari na aliyenunua anaendeleaje maana ni fundi madish
Ukiona wateja wako wanalalama jua mybe kunatatizo usipaniki deal nao taratibu, wapo wawili unasema ukinitoa mimi naomba watumie acc kwa pm imalize mzozo