Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Juzi Bw.Kaduguda umekaririwa katika vyombo vya habari na nikakusikiliza vzr sana ukimshambulia vikali mshambuliaji Leonel Ateba eti sio striker kwa sababu za kitoto kabisa kuwa ana assist nyingi kuliko mabao.
Ukasema kwa kutamba kabisa kuwa duniani kipa kazi yake ni kuokoa, beki kazi yake ni kulinda na mshambuliaji hana kazi nyingine zaidi ya kutupia.
Ukasema haiwezekani uwe mshambuliaji halafu una assist nyingi kuliko magoli uliyofunga, ukaiponda sana Simba kuwa Haina management nzuri.
Ukalalamika kwa kusema kuwa ni aibu kwa Simba na yanga hadi Leo hazijaingia nusu fainali wakati wewe umekaa pale Simba kama mwanachama na baadae kiongozi lakini ulishindwa
Kwa kweli Kaduguda, Mimi nilikuwa nakuheshimu sana, Mimi nilikuwa nakupenda sana tangu ukiwa mwandishi wa habari gazeti la Majira.Ulikuwa ukijiita mwenyewe socio scientist cum journalist.
Leo Ndugu Kaduguga, Bw.Ateba amekuprove wrong. Ateba ni zaidi ya striker Mzee Kaduguga.Angalia mikimbio yake, nguvu na anapokuwa na mali humpokonyi, Ateba amewasumbua sana waarabu Leo, Lile goli la kwanza alilofunga ni tabia za washambuliaji aina ya akina Haaland.Kosa Moja Ateba kawaadhibu.
Ateba huyo huyo kapewa mali na Jean Charkes Ahoua akaweka kambani lakini mwamuzi aliyekuja kuchezesha kwa majarionio akakataa.
Hivi Kaduguga unadhani Leo winga angekuwa Elie Mpanzu wale waarabu c wangekufa BAO 6 Leo maana Mpanzu navyomjua anaingia hadi sebuleni kwa kuwalamba chenga mabeki.Au wewe ndio umemloga Mutale
Wana Simba wamekukasirikia sana kwa maneno Yako ya shombo, kwanza wewe ni msomi halafu umekuwa kiongozi na pia ni mwandishi wa habari mkongwe, unajua athari za kuongea hovyo kwenye media, Simba inakaribia kucheza na mwarabu badala ya wewe kuwatia moyo vijana umekimbilia kwenye media kuwashusha morali, kweli Kaduguda we ni Simba kweli?
Kaduguda unashindwa Nini kwenda ofisi za Simba ukaeleza unayojua na kutoa ushauri wako hadi unataka kuharibu umoja ndani ya klabu.
Umenikwaza sana, nimeamini kweli elimu ni maarifa.