Usiku mwema wadau wa MMU, Leo nitaota nipo na mrembo mmoja wa humu, je wamjua ni nan?

Kwahiyo nikishinda inakuwaje?!Na wewe kama hushindi unajuaje mi nashinda?!Mlalaji hawezi kumjua mkeshaji hata siku moja...

Mh! Wewe noma! Huyu jamaa ni wale wanaolala na wapenzi wao huku wamefumba macho wakivuta hisia kwa demu mwingine! Achunge asijemtaja kunako majamboz patachimbika hapo!
 
LEO NI ZAMU YA KUMUOTA LIZZY. Mwasemaje?
 
Lizzy UMENIPA RAHA SANA USIKU WA LEO, NDOTO ILIKUA TAMU SANA. Tuje turudie next tym!
 
Makubwa usisahau kutandika magazeti kwenye carpet
 
We Dina umemtahazarisha jamaa asisahau nkutandika magazeti unakusudia afr na nshomire mana naskia huko lazima sehemu zakulala ziwe na mipira kama za watoto
Makubwa usisahau kutandika magazeti kwenye carpet
 
Magazeti kivipi tena wadau?
 
ndoto ya leo ushapanga? muda unaenda hivo
 
Huyu ataot MODS wanampa BAN ya kufa. tehe tehe tehe. Good night! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…