Usiku mwema wana jf

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Usiku mwema jamani nawatakia good night na my wife zenu. Mimi nami ndo naenda kuangusha na my wife wangu
 
Asante sana! Umesahau kututakia na sisi na my husband zetu...lol..
Msalimie my wife wako aka wifi yetu wa ukwee!
 
Asante sana! Umesahau kututakia na sisi na my husband zetu...lol..
Msalimie my wife wako aka wifi yetu wa ukwee!

Haya jamani na nyie usiku mwema na my husband zenu, hee we sweetlady kwani mi si nina mmjo tu!!! lol, acha umbea
 
Usiku mwema nawe pia!
Wengine ndio tunaamka!
 
Haya mi kesho ntafungua ya kuwajulia hali asubuhi...AD atafungua ya kututakia mchana na mlo mwema alafu Rejao atafunguo ya kututakia jioni njema!!!
 
Haya mi kesho ntafungua ya kuwajulia hali asubuhi...AD atafungua ya kututakia mchana na mlo mwema alafu Rejao atafunguo ya kututakia jioni njema!!!

Teh teh teh lolz
Rejao hajui tofauti ya
Asubuhi, mchana wala jioni
Itabidi umbp lolz
 
Kwa leo atanisamehe..<br />
Mbele ya mpira yeye anabaki benchi!<br />
Mpira ni chaguo la kwanza

Si mara yangu ya kwanza
Kusikia hivyo....
Kwa hiyo umemwacha ye
apigwe na baridi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…