Usiku mwema wana jf

Si mara yangu ya kwanza
Kusikia hivyo....
Kwa hiyo umemwacha
apigwe na baridi..
Ndio maana nimetanguliaza msamaha!
Mbona wewe still upo macho?
Babito umemwacha na nani?
 
Lol..umenifurahisha!<br />
Jamaa ana bahati mbaya sana!<br />
Mimi mamaa kakubali kuwa second choice!
Lolz ....
Duhh unabahati mamito kakubali
hilo..
AD asikudanganye ...
Yeye anapenda kukumbatia mto usiku..
Na kuangalia rugby muda wowote ....
Kwa hiyo hakuna anaesubiri ..
 
Haya bwana usiku mwemeni,
kweli nyie ndio mnalala
sio misimu tu eti sleep good myswitie
 
Dakika 90 sio nyingi wakati ni muda kabisa wa kutengeneza mtoto kama sio watoto?!
Hahaha...
Akirudi zilipize hizi dk alizokupotezea.
Hop unajua vizuri namna ya kumpeleka mchaka mchaka!
 
Mwanzoni nilikuwa siipendi lakini sasa hivi duuuu!
Afadhali elia umeipenda
Kumbe vitu vingi at first sight huwa vinaonekana vibaya lakini with time vinaonekana vizuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…