Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Haya bhana me bado namalizia January yangutuko kwanjaaa
Mkuu we mmakonde eeeh,...karibu chamaki nchanga kesho[emoji12]Hii post yako imekaaa kinzengo nzengo
Sawa Mkuu!!!Usiku mwema tukutaane baada ya jumuiya
Hii post yako imekaaa kinzengo nzengo
Njoo Rhapsody.....pana happen mbayaaaaa......
Nahisi tutashauriana mm ke ndio...Kama ni ke npm namba nataka unipe ushauri
Dalili za kuwa single hizi..Jamanii wana jf hususan wa MMU,naomba niwatakie ucku mwema woootee mlale unono, kwa wale watakao lala muda si mrefu kama mimi[emoji7] na wale wa bata wkend hii pia mu-enjoy salama...
Nawapenda buree[emoji5] [emoji8] baaaiii
NB:
Nawakaribisha jumuiya(ibada) kesho asbh.
Basi nasubiri namba ili tushaurianeNahisi tutashauriana mm ke ndio...
Ulijuajee mkuu...!?Dalili za kuwa single hizi..
Me thijuii ku-pm jamanii[emoji85] [emoji19]Basi nasubiri namba ili tushauriane
Mimi mtu mzima aisee..Ulijuajee mkuu...!?
Haswaaa, shikamoo mkuuMimi mtu mzima aisee..
Muulize #rubii atakufundisha, mi leo namwogopa.Me thijuii ku-pm jamanii[emoji85] [emoji19]