Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ningekuwakilisha ndugu yangu si unajua kizuri kula na nduguyoUlitaka uende nini mzee?
Na kweli vile hatupendi kuamshana wakati tunaotana.Ulikua umelala mpenzi..
Huo undugu uishie kwenye likes ndugu yangu......Ningekuwakilisha ndugu yangu si unajua kizuri kula na nduguyo
Mbona mimi huwa silazimishiwi huu ubaby kama wengine jamani?[emoji32][emoji32][emoji32].........au ni hii avatar yangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo undugu uishie kwenye likes ndugu yangu......
Kwa shemeji yako tunatafutiana mengine.
Muulize Saint Ivuga nilichowahi kumfanya .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzigua90 nitakusalimia nikiona huyu rafiki yangu katoka kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] janga la wengiMbona mimi huwa silazimishiwi huu ubaby kama wengine jamani?[emoji32][emoji32][emoji32].........au ni hii avatar yangu?
Kati ya huyu na Khantwe ni nani anakulazimishia ubaby?[emoji4][emoji4][emoji4]Unatanguliza chura.
Halafu watch shemeji yako anajilazimishiaje ubaby au unataka kuimwaga mboga yangu.
Naona umeirudia kwa msisitizo.watu wa facebook utawajua tu.
watu wa facebook utawajua tu.
Saint Ivuga naona Daby anajihami kwa matukio nini kilikusibu bossMuulize Saint Ivuga nilichowahi kumfanya .
Mkuu unamkana Khantwe mchana kweupe namna hii???[emoji32][emoji32][emoji32]........subiri giza please!!Khantwe mdogo wangu yule.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu unamkana Khantwe mchana kweupe namna hii???[emoji32][emoji32][emoji32]........subiri giza please!!
Hajui huyo mfanyie babyMuulize Saint Ivuga nilichowahi kumfanya .