Ahaaa kumbe huyu ndie jose, bas nakumbuka kuna siku alisha nipa stor kama hiyo, kwa hiyo ndo ameamua kuileta huku...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
AF Jose acha uzembe
Nimependa avatar yako mkuu duh![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
AF Jose acha uzembe
Kuna wezi wa kisasa mkuu!Kwetu had uani tumeeka silingbod geti la maana na shot zaumeme zipo kuzunguka nyumba sauyo mwiz kibaka anaingilia wap sjui