Kosa Sura Pata Zegembe,
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28]
Hivi hapa kifuani uwiya ameandika nnJoyce wowo Jana alijua kuturusha roho wanazengo, mxiee ila Kati ya Kiki zote zilizoboa hii Joyce wowo umebugi, Kiki ya kishamba, Event yenyewe haijabamba kihivyo . Yani uwoya sio siri Mungu kambariki uzuri wa sura , na pesa anazo Tena nyingi sana , ila tu KICHWANI ndo zero, she is not smart at all , mpaka sasa sijajua kitu cha maana alichokifanya kwenye hiyo event yake, kujifanya reality show usikute hamna chochote pesa tu zilikua zinamuwasha huyu mxieew...
Yani I can imagine hizi pesa angekua nazo ZAMARADI Yan angekua mbali kuliko hata alivyo sasa hvi, Irene ana pesa ila hajui kufanya vitu vya maana zaidi ya bata na show off za kijinga.
Irene ana pesa ndefu kumzidi Zamaradi , sema zamaradi anaonekana ana pesa tu kwa sababu ana Invest kwenye mambo ya maana na ana akili, anajua kuzalisha pesa na anajua nini afanye kimuingizie pesa , ila Mungu hakupi vyote, Cheusi Dawa kanyimwa sura na tako ila akili zipo , huyu Joyce wowo kapewa sura , pesa na wowowo ila akili hana , ama kweli acheni Mungu aitwe Mungu kwa kweli.
Ila mie nilitaka kushangaa, shoga angu na wazungu wapi na wapi, maana hayo mambo wanayaweza akina huddah na Vera , hizo ndo type zao , sasa Joyce wowowo akili hana kiingereza chenyewe kimekuja na meli huyo mwarabu Sijui Mzungu wasingewezana kwa lolote, wazungu kuwachuna inahitaji akili za ziada sana na umafia, sasa uwoya wa kishua yule mboga saba asingeweza
Ila Jana lulu alidamshi, walipendeza kwa kweli, ila Sijui kwa nini HAMISA , WEMA, JACKY, AUNTY hawakuwepo , Sijui hawakupewa kadi au ndo mambo ya wivu tena maaan bongo movie nao kajisemea Huddah wana wivu na roho chafuView attachment 1246302
Kwani kudanga ni shughuli iliyo rasmishwa ?Mtu anasifiwa ana pesa ila shughuli anayofanya kumuingizia kipato haijuikani
Hamisa yupo DubaiJoyce wowo Jana alijua kuturusha roho wanazengo, mxiee ila Kati ya Kiki zote zilizoboa hii Joyce wowo umebugi, Kiki ya kishamba, Event yenyewe haijabamba kihivyo . Yani uwoya sio siri Mungu kambariki uzuri wa sura , na pesa anazo Tena nyingi sana , ila tu KICHWANI ndo zero, she is not smart at all , mpaka sasa sijajua kitu cha maana alichokifanya kwenye hiyo event yake, kujifanya reality show usikute hamna chochote pesa tu zilikua zinamuwasha huyu mxieew...
Yani I can imagine hizi pesa angekua nazo ZAMARADI Yan angekua mbali kuliko hata alivyo sasa hvi, Irene ana pesa ila hajui kufanya vitu vya maana zaidi ya bata na show off za kijinga.
Irene ana pesa ndefu kumzidi Zamaradi , sema zamaradi anaonekana ana pesa tu kwa sababu ana Invest kwenye mambo ya maana na ana akili, anajua kuzalisha pesa na anajua nini afanye kimuingizie pesa , ila Mungu hakupi vyote, Cheusi Dawa kanyimwa sura na tako ila akili zipo , huyu Joyce wowo kapewa sura , pesa na wowowo ila akili hana , ama kweli acheni Mungu aitwe Mungu kwa kweli.
Ila mie nilitaka kushangaa, shoga angu na wazungu wapi na wapi, maana hayo mambo wanayaweza akina huddah na Vera , hizo ndo type zao , sasa Joyce wowowo akili hana kiingereza chenyewe kimekuja na meli huyo mwarabu Sijui Mzungu wasingewezana kwa lolote, wazungu kuwachuna inahitaji akili za ziada sana na umafia, sasa uwoya wa kishua yule mboga saba asingeweza
Ila Jana lulu alidamshi, walipendeza kwa kweli, ila Sijui kwa nini HAMISA , WEMA, JACKY, AUNTY hawakuwepo , Sijui hawakupewa kadi au ndo mambo ya wivu tena maaan bongo movie nao kajisemea Huddah wana wivu na roho chafuView attachment 1246302
Hiyo show ipo channel hapa bongo.?Anadai alikua anazindua reality show yake
Leta uzi kuhusu kukaa kwake kimya naona ig yake anamiezi hajapostShow wap Kiki tu za kijinga
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulikuwa unahusu kuonesha wowowoUsiku huo ulikua wahusu nini dear?
[emoji3577][emoji3577][emoji23][emoji23]Mpwa nakuaminia kweny umbea mweeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Npooooooooh
[emoji3526]