Usiku wa "Kanga za Kale" Diamond Jubilee VIP Hall

Usiku wa "Kanga za Kale" Diamond Jubilee VIP Hall

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Wakulu ijumaa ndio hiyo tena kesho October 1 pale VIP Diamond Jubilee Hall kutakuwa na Usikuwa Khanga za Kale

Kama kawaida nitawaletea mapicha ya usiku huo wa Kanga atiii...
 
Nasubiria najua mambo yatakuwa motomoto mamboya khanga tena
 
7.JPG


More photos to follow...
 
Ulikuwa usiku wa kudumisha vazi la khanga au usiku wa kudharirisha vazi la khanga?????????????????????:A S-confused1:
 
kuna dada mmoja ana mkono ........mmmmh! umeniacha na mshangao mkubwa......kama mikono ya watu wawili tofauti?!
 
Back
Top Bottom