Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Wakulu ijumaa ndio hiyo tena kesho October 1 pale VIP Diamond Jubilee Hall kutakuwa na Usikuwa Khanga za Kale
Kama kawaida nitawaletea mapicha ya usiku huo wa Kanga atiii...
Ulikuwa usiku wa kudumisha vazi la khanga au usiku wa kudharirisha vazi la khanga?????????????????????:A S-confused1:
Hiyo picha ya mwisho ni macho yangu nini?Some photos from backstage on the Kanga za kale night...
View attachment 14571
View attachment 14570
View attachment 14569