SahihiBado tu wanang'ang'ana na maji ya Ruvu,awana mkakati wa kuyatumia maji ya mto Rufiji usio kauka?
Usiku wa kuamkia leo tarehe 03 Julai 2024,Waziri wa maji Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kukagua Hali ya uzalishaji maji katika mitambo ya Ruvu juu na Ruvu chini iliyopo mkoani Pwani.
Ziara hiyo imelenga kuangalia hali ya uzalishaji maji katika mitambo hiyo inayotumika na wakazi wa Mikoa ya Dar na Pwani.
View attachment 3032314
Hivi unajua hata hio underground water inakuwa refilled na inaweza kuisha au kupungua ? yaani inajaa kutokea hukohuko kwenye mvua...Mambo ya kutumia surface water kwenye karne ya 21 ni ujima. Tunapaswa tutumie underground water ili mambo ya mabadiriko tabia nchi yasiwe kikwazo.
Ujenzi wa bwawa la Kidunda umekuwa gumzo tangu enzi za mwalimu. Ikifika robo ya tatu ya mwaka huu tutaanza kuambiwa kuna mgao wa maji kwa kuwa mto ruvu kina kimepungua. Kila kitu kwa watawala wa TZ ni staili ya zima moto.Mambo ya kutumia surface water kwenye karne ya 21 ni ujima. Tunapaswa tutumie underground water ili mambo ya mabadiriko tabia nchi yasiwe kikwazo.