Unatumika sana mdogo wangu nadhani baada hizi shoo utakuwa umefubaa tayari..
wakuu mi nauliza show ya Jide inafanyikia wapi.?
Nyumbani lounge! kama unatumia daladala ukitokea moroko shuka mbuyuni then vuka barabara alafu uliza yeyote atakuelekeza lakini Big Sound itakuelekeza zaidi!
shukrani mkuu, hata hivyo mimi nipo maeneo ya Manzese darajani. kwa hiyo kama ni daladala niingie za Mwenge theni Bamaga,kisha zinazoelekea Morocco au.?
Kinyeo chako hakijatumika?
Na sio mdogo wako mimi. Acha kujipendekeza.
Shoga baba'ako na nyoko wote kwa mpigo.
Halafu wakazaa toto choko ambaye ndo wewe.
Kuzaliwa uswaz kaz kwelikweli Futa hilo povu limekutokaje.?.
Usikurupuke.yaani huna hata kagari ka milioni 6? Mweeee
Usikurupuke.
Mimi sio mkazi wa Dar, kulingana na mishemishe zangu kila wiki lazima nitinge hapa mjini.
Hapo kwa jide sipafahamu ndio maana nikawa naulizia vizuri, ila na wewe siku ukija Mbeya ni pm niwe mwenyeji wako.!!
shost unaniangusha twende zetu viwanja vya wajanja kule hakuna ishu,.Mtanyeshewa bure my dear,watabiri wa hali ya hewa wameshatangaza kwamba kesho ni Bonge la mvua,unataka kuharibu foundation yako?Mi pia ntakuepo....
ikinyesha tutajua hapohapo
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa burudani ya muziki wa LADY JAYDEE imewadia yaani itakuwa shangwe,vifijo na mayowe kusherekea na kumpongeza mwanadada huyu kwa kutimiza miaka 13 ndani ya game la bongo fleva,kwa kweli sio mchezo safari ilikuwa ndefu,wapambanaji walikuwa wengi,wengine waliishia njiani,lakini KOMANDO hakukata tamaa,ni miaka kumi na tatu ya mafanikio,pia atazindua album yake ya NOTHING BUT THE TRUTH,watanzania tujitokeze kwa wingi kumpa support dada yetu,mtanzania mwenzetu kwa juhudi na mafanikio aliyofikia hadi sasa,mimi binafsi nitakuwepo,nitaenda kutoa JOTO NA HASIRA,pia nataka nimjue YAHAYA ,cant wait piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee,HILI JOTO HASIRAAAAAAAAA????,LETS GOOO PEOPLE.....
Huna gari wewe. Kama unalo kwanini usisafiri nalo kutoka Mbeya? Kitu kingine: Kwanini ufikie Manzese kama kweli una hela? Si ungelala hata Sinza. Hilooooooooo Masikiniiiiiiiiiiiiiiiiiiii...............
Huna gari wewe. Kama unalo kwanini usisafiri nalo kutoka Mbeya? Kitu kingine: Kwanini ufikie Manzese kama kweli una hela? Si ungelala hata Sinza. Hilooooooooo Masikiniiiiiiiiiiiiiiiiiiii...............
Wewe ndio wale ukiona mwanaume ana Gari tayari chini kunaloa kwenyewe.
Hivi aliekuambai Gari ni utajiri nani.?
Hivi gari ni kitu cha kujisifia au kipimo cha maisha bora ya mtu.?
Hata nikikwambia namiliki gari kadhaa wewe itakusaidia nini na mbaya zaidi hatufahamiani.?
Wewe kweli unatumia 0713 kufikiri.!!
Naona unataka kunisababishia ban ya lazima.!!
Usiniharibie weekend bure.!!