W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 May 15, 2021 #1 Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama...
Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama...
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 15, 2021 #3 Simba Nguvu Moja
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 May 15, 2021 #4 Duwa,,Duwa,,Duwa kila hatua Duwa. Tunampiga Kaizer nje ndani.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 15, 2021 #5 Kaizer Chiefs, piga hao mikia fc goli 3 kwa bila! Kwani Prisons wameweza wana nini, kiasi cha nyinyi kushindwa?
Kaizer Chiefs, piga hao mikia fc goli 3 kwa bila! Kwani Prisons wameweza wana nini, kiasi cha nyinyi kushindwa?
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 May 15, 2021 Thread starter #6 Tate Mkuu said: Kaizer Chiefs, piga hao mikia fc goli 3 kwa bila! Kwani Prisons wameweza wana nini, kiasi cha nyinyi kushindwa? Click to expand... Hata uto hawawezi. Simba wapo J'burg......Yanga Ruangwa.
Tate Mkuu said: Kaizer Chiefs, piga hao mikia fc goli 3 kwa bila! Kwani Prisons wameweza wana nini, kiasi cha nyinyi kushindwa? Click to expand... Hata uto hawawezi. Simba wapo J'burg......Yanga Ruangwa.
lee Vladimir cleef JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 9,571 Reaction score 35,475 May 15, 2021 #7 wazunguwawili said: Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama... Click to expand... Amen amen amen Mungu Baba fanyiza twakuomba,ushindi uwe kwetu safari hii,HADI tutwae kombe la Afrika.
wazunguwawili said: Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama... Click to expand... Amen amen amen Mungu Baba fanyiza twakuomba,ushindi uwe kwetu safari hii,HADI tutwae kombe la Afrika.