Usiku wa Uganda Entertainment Awards, Live Updates

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu salama! Ile siku iliyosubiriwa kw hamu ya Event ya utoaji wa Tuzo kubwa Africa za Uganda Entertainment Awards (UEA) imefika.
Categories zinazotazamwa zaidi ni zile zilizowashirikisha wasanii kutoka nchini Tanzania ambapo Vanessa Mdeee, Diamond Platinumz (Chibu Dangote, Simbaaaa....... ) na Alikiba Kingkiba wapo.

Diamond (Simba) yupo category 2, ya Best African Act pamoja na Best East African Act,

Huku Alikiba na Vanessa Mdee wakiwa kipengele kimoja cha Best East African Act.

Usicheze mbali, badae ntakuletea Updates zote, Ili uweze kujua Msiba upo kwa nani, Nani simba na nani swala.
 
Sawaa najua simba atachukuwa hiyo ya east
 
PimbiKiba hapo atakula kwa macho tu hatoki na chochote
 
Wakuu salama! Ile siku iliyosubiriwa kw hamu ya Event ya utoaji wa Tuzo kubwa Africa za Uganda Entertainment Awards (UEA) imefika.
Categories zinazotazamwa zaidi ni zile zilizowashirikisha wasanii kutoka nchini Tanzania ambapo Vanessa Mdeee, Diamond Platinumz (Chibu Dangote, Simbaaaa....... ) na Alikiba Kingkiba wapo.

Diamond (Simba) yupo category 2, ya Best African Act pamoja na Best East African Act,

Huku Alikiba na Vanessa Mdee wakiwa kipengele kimoja cha Best East African Act.

Usicheze mbali, badae ntakuletea Updates zote, Ili uweze kujua Msiba upo kwa nani, Nani simba na nani swala.
Updates please au ndo simba kashamla swala tayari
 
Tushakujua timu yako...sasa uwanja wenu wa mazoezi uko wapi?!
 
Back
Top Bottom