ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
Upo sahihi kabisaKuna sehemu unaenda kumsikiliza mtu anajua quantum physics kwa kiwango ambacho wewe unatakiwa kujiona si lolote.
Hilo halimaanishi wewe si lolote.
Hilo linamaanisha wewe si lolote kwenye fani hiyo.
Na labda kuelewa kuwa wewe si lolote katika fani hiyo ndiyo chachu ya kukufanya ujifunze zaidi.
Nitafanya hivyo mkuu. Lakini mimi niko positive sana na siyo mtu wa ligi kiufupi napendelea ukimya pale wanaponikejeliChagua basi vya kumuadithia
Huoni analeta dharau sasa
Wewe unataka mtu ajione mdogo kwa namna gani ?Kujiona mdogo ukimaanisha nini? Kujiona dhaifu? Ni hali ya kawaida ya asili kujiona mdogo mara kadhaa. Na kuna wakati ni kweli unakua mdogo. Siyo vibaya kuukubali uhalisia. Cha msingi ni kujitahidi kuwa positive hata kipindi unapokuwa dhaifu kwasababu mbalimbali za kibinadamu.
Aibu yetu 😢Asamia katufanya wadogo tumetii mamlaka bila shuruti taifa kimya
Kila la kheri mkuuNitafanya hivyo mkuu. Lakini mimi niko positive sana na siyo mtu wa ligi kiufupi napendelea ukimya pale wanaponikejeli
AiseeeHauko sawa hata kidogo. Hao hao unaowasaidia ndani kabisa ya nafsi zao, wanakudharau. Nilikua hivyo zamani na nikifikiri ni fahari kumbe najiumiza mwenyewe.
Kwanini tena mb zimeisha?Kila la kheri mkuu
Nimekutakia kila la kheri kwenye mambo yakoKwanini tena mb ximeisha?
Unachamgamsha kijiweChai ya nn 😅
Asante mkuu yaani nipo vague kinomaNimekutakia kila la kheri kwenye mambo yako
SawaaAsante mkuu yaani nipo vague kinoma
Tumesimamaa dedeeAibu yetu 😢
Yani mtu anayejua fizikia kuliko wewe anakwambia hapa juu sana huwezi kuruka ukabaki salama, halafu wewe ambaye hujui fizikia vizuri umbishie ukatae kujifunza ukweli kwa sababu hutaki kuwa mdogo?
Kuna sehemu unatakiwa kukubali kuwa mdogo, ujifunze.
Na kukataa kuwa mdogo kwa confidence tu hata kama hauko sawa, kunaweza kukuua.
Afanyeje mtu yule ambaye hapendi kuumia akiumizwa ila bado anajikuta tu kaumia akisemwa vibaya? Kumshauri tu kwamba asijali au asikubali kufanywa mdogo inatosha kumsaidia mtu wa namna hiyo?Wewe unataka mtu ajione mdogo kwa namna gani ?
Mimi namaanisha mtu kutokubali kubagazwa na watu wengine kwa kusema hana uwezo
Na kuishia kushindwa kabisa
Kwa ku athiriwa na maneno yao
Ila ukinyenyekea maana yake si ni kwamba umekubali kushuka au !So unyenyekevu ni swala lingine kabisa
Hahahaha hy bhn kesho ngj nilaze vuvu😅Unachamgamsha kijiwe
Kwani kuna namna ya kufanya usiumie ?Afanyeje mtu yule ambaye hapendi kuumia akiumizwa ila bado anajikuta tu kaumia akisemwa vibaya? Kumshauri tu kwamba asijali au asikubali kufanywa mdogo inatosha kumsaidia mtu wa namna hiyo?
Usiku mwemaHahahaha hy bhn kesho ngj nilaze vuvu😅
Kwahiyo ukiambiwa kwa dharau kua wewe hata iweje hutokaa ufaulu mtihani na huambiwi hivi kwa kua wewe labda ni mkaidi hutaki kujifunzaIla ukinyenyekea maana yake si ni kwamba umekubali kushuka au !