Naunga mkono hoja yako mkuu 🤝Kutokukubali kudharauliwa na Confidence ni vitu muhimu, lakini pia inahitajika kuambatana na unyenyekevu pia.
Hakuna mtu anayejua kila kitu, kila mmoja wetu ana nguvu zake, uwezo, ujuzi na maarifa yake lakini bado kuna maeneo ya kujifunza. Vilevile Kujithamini hakumaanishi kujiona juu ya wengine, bali kujua thamani yako bila kupunguza thamanj ya mwingine
YNWA
Unyenyekevu haufanyi usijione hauwezi. Ni kukubaliana na ukweli kwamba kuna eneo linahitaji kuboreshwa na uchukue hatua stahiki.Ila ukinyenyekea maana yake si ni kwamba umekubali kushuka au !
Kutokukubali kudharauliwa na Confidence ni vitu muhimu, lakini pia inahitajika kuambatana na unyenyekevu pia.
Hakuna mtu anayejua kila kitu, kila mmoja wetu ana nguvu zake, uwezo, ujuzi na maarifa yake lakini bado kuna maeneo ya kujifunza. Vilevile Kujithamini hakumaanishi kujiona juu ya wengine, bali kujua thamani yako bila kupunguza thamanj ya mwingine
YNWA
Exactly 💯Unyenyekevu haufanyi usijione hauwezi. Ni kukubaliana na ukweli kwamba kuna eneo linahitaji kuboreshwa na uchukue hatua stahiki.
Mleta uzi anaposema usikubali kufanywa duni, ni ile mtu anakufanyia vitu vinavyoathiri nafsi yako kiasi cha kuona hauna uwezo wa kufanya chochote, unakosa ujasiri kabisa.
Mara nyingine inaweza asiwe mtu, unapitia hali ngumu hadi wewe unajiona duni na hauwezi chochote, inafika mahali unahisi hata wengine wanakuchukulia hivyo, inaathiri sana unavyoishi na watu au kujieleza kwao, tayari ndani yako umeshaweka kuwa wewe ni duni.
Kwa ufupi, ni kuwa mtu wa matumaini na kutokata tamaa kutokana na mazingira, hali, nyakati au watu.
Clearly hiyo ni dharau, unaweza usikubaliane nae ila uka-ignore tu ili maisha yandelee japo wewe unajua uwezo wako ni nini!Ila tu kwa namna ya kukuny'ong'onyeza
Inabidi unyenyekee ki vipi?
Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji
Nadhani kila mtu anajua thamani yake
Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya mtu mwingine ajihisi au ajione mdogo
Na kisha huyo mtu anakubali kabisa na kuanza kujiona mdogo na kujishusha thamani
Mbinu hii ya kutaka kuwafanya wengine wajihisi wadogo hutumiwa na watu wadogo wanapotaka kuweka mizani sawa
Huna haja ya kukubali hizi mbinu zisizo na maana yeyote
Ni ukweli usiopingika kwamba duniani tupo katika viwango tofauti sana
Kuna watu walio kwenye high level, kuna walio kwenye low level, na kuna walio kwenye average level
Lakini licha ya yote hayo, confidence inaweza kumbeba sana mtu
Yes hata ukiwa mtu wa kiwango cha chini kiasi gani
Ukiwa na confidence unaweza kufanya vingi na vitu postitive
Unaweza kuitwa kwenye interview, ukaweza kujieleza vizuri bila hofu na ukafaulu
Unaweza kuanzisha biashara ndogo na ukafanikiwa
Watu wanasema bila pesa huwezi kuwa na confidence
Mimi hilo sioni kuwa ni kweli, au kama kuna ukweli ndani yake, basi ni mdogo sana
Ukiwa na confidence, uwezekano wa kuzipata pesa unakuwa mkubwa pia
Watu waoga waoga huwa wanachukua muda mrefu sana kufikia malengo au wasifikie kabisa matamanio yao
Ujumbe wangu wa leo ni huu:
No matter what, huna haja ya kukubali kufanywa mdogo na yeyote
Hasa sisi wanawake, huna haja ya kujiona wa kawaida
Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka
Mimi : ShesRise_1
hupendelea kusema:👇
Mimi si wa kawaida, ila wewe unaponitazama mimi na ukaniona wakawaida
wewe ndiyo wa kawaida sana kiasi kwamba huwezi kuona viwango vyangu.
Wewe mdau umewahi kujihisi mdogo?
Nini kili rudisha confidence yako?
ShesRise_1 🤚
Safi, nzuri sana hii.Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji

Ni kweli. Ila pia mara nyingi ni ngumu kujiepusha na changamoto ya kusemwa vibaya (kufanywa uonekane mdogo). Na sometimes ni haiwezekani kabisa. Tunatofautiana tunavyozipokea changamoto za maisha. Kuna watu kwa asili tu ni wagumu kuumia. Na kuna wale wanaumia kirahisi sana na ni wagumu kusahau na kusamehe.Kwani kuna namna ya kufanya usiumie ?
Au kuna jinsi ya kukabiliana na maumivu bila kukuachia athari kubwa ?
Ngoja wajuzi waje
Ila unaweza kujiepusha na maumivu kwa kujitenga na sababu zinazoweza kupelekea maumivu
Sasa hapa kuna utofauti sana kuna mtu anaweza ku ignore dharau na kuamini uwezo wake na akaendelea vizuriClearly hiyo ni dharau, unaweza usikubaliane nae ila uka-ignore tu ili maisha yandelee japo wewe unajua uwezo wako ni nini!
Hoja yangu ni kwamba kuna muda unatakiwa ukubali kuwa mdogo (sio mnyonge) ili kuepusha kelele zisizo na ulazima, ukishindwa kutambua hilo matokeo yake unakuwa kam kijana flani humu jukwaani sitomtaja jina ila ana shida ya kujiona mkuu sana/mkubwa/muhimu/mjuaji nk nafikiri ni kwasababu hiyo
Karibu kila siku.Upo sahihi kabisa
Kwa mkutadha huo ni sawa
Hivi hujawahi kukutana na watu wanaopenda kudogosha wengine kwa njia ya kuwanyong'onyeza ?
Ni kweli watu tunashindwa kutofautisha mtu kujua thamani yakeNa hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka
Safi, nzuri sana hii.
"Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka"
Watu wengi huwa wanadhani mtu anayejitambua na kusimamia thamani yake ana kiburi au jeuri.
Hakika kaka nimeona hapa jukwaani ukijikita kwenye hoja inayokua mezani badala ya kum shambulia mtu binafsiKaribu kila siku.
Hao wanapanguliwa kwa logic tu.
It is not a matter of nani mkubwa na nani ndogo, it is a matter of what it true.
Mara nyingi wanatumia logical fallacies kama ad hominem, non sequitur, strawman argument.
You just point out the logical fallacies.
I do that everyday here.
Kusemwa vibaya inauma lakini ukiangalia anaekusema ni nani hii inaweza kupunguza maumivu yako au kuisha kabisaNi kweli. Ila pia mara nyingi ni ngumu kujiepusha na changamoto ya kusemwa vibaya (kufanywa uonekane mdogo). Na sometimes ni haiwezekani kabisa. Tunatofautiana tunavyozipokea changamoto za maisha. Kuna watu kwa asili tu ni wagumu kuumia. Na kuna wale wanaumia kirahisi sana na ni wagumu kusahau na kusamehe.
Pole kwa hiyo changamoto uliyopitiaMwanzo nilijihisi mdog hata kama kwenye kikao au watu wengi nisigeweza kuogea hata kama nigeogea ugesikia watu wanasema na wewe unataka kusema nin hii ilinitesa sana nikakoswa ujasiri nikawa mnyonge sababu sijui kuogea haraka haraka naogea taratibu
Ila now naujasiri zaid ya simba siwez kuruhusu mtu anifanye mdog/ mnyonge
safi kabisa kumbe unajielewaMtego wa kiburi: Kujiona duni ndiko kunakomfanya mtu atumie kiburi au dharau kama ngao ya kuficha aibu ya kutokujua.
Unyenyekevu ni Fursa: Ili ujazwe maarifa, lazima ukubali kwanza kuwa "hauwezi kujua vitu vyote." Mwanafunzi mpole pekee ndiye anayeweza kukua hadi kufikia au kuvuka kiwango cha mwalimu wake.
Ukuaji Halisi: Unapoweka aibu pembeni na kuikumbatia shauku ya kujifunza, unainua uwezo wako badala ya kuuangamiza.
Mtazamo wako wa unyenyekevu na nia ya kujifunza ndiyo nguzo kuu ya kufikia mafanikio yoyote.
nilivyofanya mim nilianza kuogea na watu wawili baadaye watano, kumi, ishirin, mpak wat mia nikapata ujasiri na unapotaka kuzugumza kwa watu kama mia chagua mtu mmoja uwe kama unazungumza naye watakuelewa wotePole kwa hiyo changamoto uliyopitia
Na hongera kwa kuishinda
Hii ya kushindwa kuongea mbele ya watu wengi inawakumba watu wengi sana
Mtu anawaza nikiongea watanielewa kweli?
Wow hongera sananilivyofanya mim nilianza kuogea na watu wawili baadaye watano, kumi, ishirin, mpak wat mia nikapata ujasiri na unapotaka kuzugumza kwa watu kama mia chagua mtu mmoja uwe kama unazungumza naye watakuelewa wote
HAKIKISHA WATU HAWAKUCHUKULII KAWAIDA
Moto lazima uwake...🤣Kwenye miti ........?
Ona akili zako.... 🤣Moto lazima uwake...🤣