ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #121
Nipe huyo mdogo wako nikae nae kwa one week π akirudi atakua poa sanaYes! Solution ni hiyo tuu counseling.
Lakini je! Mtu huyo atakubali kwamba anatatizo ili apate hiyo counseling? Hapa ndio changamoto kubwa ilipo.
I have my own bro anahilo tatizo, aisee! Everything to him is argument. Kila kitu yeye atakijudge kwa namna anayojua yeye ili akufanye ujione mkosaji na huna hadhi/thamani Sasa binafsi nilishamuelewa na naishi nae kwa namna yangu ila Sasa Huwa napenda wanavyoishi na mdogo ake Gen Z. Kwakweli Huwa nafurahi tuu majibu anayopewa mpaka anaamua kukaa kimyaππ.
Nafikiri maada za namna hii zikiwa nyingi tutagusa tabia nyingi na wenye hizi tabia watafikiwa labda kwa njia hii watafumbuka mioyoni mwao watabadilika. Na hili ndio hunifanya nisiache kuchangia kwenye maada
Acha tuu nimekamatwa na latra hapa π πWewe majanga kila kukicha π’π€£
Fumba macho tuombe kijana π€£π€£Acha tuu nimekamatwa na latra hapa π π
Ila wewe π€£π€£
Maake ana matusi huyu na mbamizwa katumeni bichwa komweIla wewe π€£π€£
Umenipa somo,pamoja na ukubwa wangu!Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji
Nadhani kila mtu anajua thamani yake
Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya mtu mwingine ajihisi au ajione mdogo
Na kisha huyo mtu anakubali kabisa na kuanza kujiona mdogo na kujishusha thamani
Mbinu hii ya kutaka kuwafanya wengine wajihisi wadogo hutumiwa na watu wadogo wanapotaka kuweka mizani sawa
Huna haja ya kukubali hizi mbinu zisizo na maana yeyote
Ni ukweli usiopingika kwamba duniani tupo katika viwango tofauti sana
Kuna watu walio kwenye high level, kuna walio kwenye low level, na kuna walio kwenye average level
Lakini licha ya yote hayo, confidence inaweza kumbeba sana mtu
Yes hata ukiwa mtu wa kiwango cha chini kiasi gani
Ukiwa na confidence unaweza kufanya vingi na vitu postitive
Unaweza kuitwa kwenye interview, ukaweza kujieleza vizuri bila hofu na ukafaulu
Unaweza kuanzisha biashara ndogo na ukafanikiwa
Watu wanasema bila pesa huwezi kuwa na confidence
Mimi hilo sioni kuwa ni kweli, au kama kuna ukweli ndani yake, basi ni mdogo sana
Ukiwa na confidence, uwezekano wa kuzipata pesa unakuwa mkubwa pia
Watu waoga waoga huwa wanachukua muda mrefu sana kufikia malengo au wasifikie kabisa matamanio yao
Ujumbe wangu wa leo ni huu:
No matter what, huna haja ya kukubali kufanywa mdogo na yeyote
Hasa sisi wanawake, huna haja ya kujiona wa kawaida
Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka
Mimi : ShesRise_1
hupendelea kusema:π
Mimi si wa kawaida, ila wewe unaponitazama mimi na ukaniona wakawaida
wewe ndiyo wa kawaida sana kiasi kwamba huwezi kuona viwango vyangu.
Wewe mdau umewahi kujihisi mdogo?
Nini kili rudisha confidence yako?
ShesRise_1 π€
Akili zako siziwezi π€£Maake ana matusi huyu na mbamizwa katumeni bichwa komwe
ShukranUmenipa somo,pamoja na ukubwa wangu!
Hakika umenena kakaMara nyingi watu hukufanya vile unavyojiona
Niko vyema π
Udugu wangu ndege naomba buku mjomba wako hajals π«Niko vyema π
Uduguπ€£Udugu wangu ndege naomba buku mjomba wako hajals π«
Sitakupa buku, bali nitakufundisha jinsi ya kukaa na njaa bila kufa.Udugu wangu ndege naomba buku mjomba wako hajals π«
Eeeh udugu wangu πUduguπ€£
Huna akili wewe π€£π€£Eeeh udugu wangu π
ππ Mwijaku mabaya sikosi, mazuri yangu yapo mtayasema nikifa aaahHuna akili wewe π€£π€£
Sio mm ni mjomba wako hajala ππ«Sitakupa buku, bali nitakufundisha jinsi ya kukaa na njaa bila kufa.
Mwambie akaze tu. Njaa ikiuma zaidi aibe tu!Sio mm ni mjomba wako hajala ππ«