Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Ahoo sasa huyo mtu atapatikana vipi sasa mkuu?
 
Yes basi mshawishi akijiunga huku atapata faida sana

Mimi angekuwa wa kike sawa ila vile ni wakiume siwezi

Unaemtaka yupo ila sasa, akili yake anaijua mwenyewe.

Huyu ndio mtu pekee ambaye ili nifanye maamuzi nahitaji kumsikilizaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ. She is too young to be exposed here but she need mindset like yours.
 
Kwanini lazima umsikilize yeye na sio wengine na umesema ni mdogo
 
Kwanini lazima umsikilize yeye na sio wengine na umesema ni mdogo
Good qnβ™₯️πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘

Mara nyingi anapofanya vitu vyake Huwa na sababu zake kwahiyo huwa napenda kujua sababu yake.

Pia mazingira yeye ni mtoto wakike pekeeake, hana wakujifunza kwake. Huwa napenda kujua msukumo unatokea wapi?

Lastly huwa namuona ni emotional intelligence kwahiyo kufanya maamuzi pasipo kushusha hisia zake ni kumkatili.

Lastly binafsi na prefer kujenga jamii bora na jamii bora inaanzia nyumbani, So am trying to build her too. Her experience is my experience to my future daughter's.
 
Wow hii nzuri sana unafanya vizuri kua kaka bora kwa mdogo wako wa kike
Na kwa jamii kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…