Yaani Ashadii we acha tu na tusipoitwa hayo majina tunalalamikaje na kujiona wanyonge?mie hapa hata sijui nisemeje maana mambo haya yapo na kila siku yanatukuta ila hatujifunzi kabisa .mie i prefer kumwita mme wangu najua hawezi ita mtu mwingine mke wng coz na yy kazoea wife
Kuna wengine hawaandiki majina full kwenye simu zao, utakuta anaandika viherufi fulani fulani tuuu, ujue umeliwa ukiona hivyo
Kuna wengine hawaandiki majina full kwenye simu zao, utakuta anaandika viherufi fulani fulani tuuu, ujue umeliwa ukiona hivyo
Nasema hivi,, I once was a beliver of true love and the marriage thing,, lakini kwa yaliyonipata kwenye hii ndoa pyuuu!!!! NDOA haina tofauti na siasa za bongo..... nasema hivi ntafanya CHOCHOTE moyo wangu utakacho, maana my true love is my moyo,, I love my self,, I love my selffffff, me myself and I, nikiwa na mtu ananisaidia tu kunipenda NAWAKILISHA. BY THE WAY HUYO DADA NI JASIRI NA UAMUZI ALIOCHOKUA NIMEUPENDA.
Nasema hivi,, I once was a beliver of true love and the marriage thing,, lakini kwa yaliyonipata kwenye hii ndoa pyuuu!!!! NDOA haina tofauti na siasa za bongo..... nasema hivi ntafanya CHOCHOTE moyo wangu utakacho, maana my true love is my moyo,, I love my self,, I love my selffffff, me myself and I, nikiwa na mtu ananisaidia tu kunipenda NAWAKILISHA.
BY THE WAY HUYO DADA NI JASIRI NA UAMUZI ALIOCHOKUA NIMEUPENDA.
Tena zinazidi kuongezeka, kila kukicha watu wamebuni mbinu mpya!! Jamani....!Hahahaaa kweli dunia hadaa ilojaa sanaa
Kuna haja gani ya kumwamini mtu ambae si mwaminifu? Mfano huyo mwanaume hapo anaaminika kweli? Si utaumwa kila siku jamani....!!Mbona hamuwaamin wanaume?????
Atleast wale waliopo kwenye ndoa, lakini kwa wale wanaodate date.....(???)! Sharobaro vs sister du, wasipoitana haya majina nahisi huwa wanapata headache meeeeen!Yaani Ashadii we acha tu na tusipoitwa hayo majina tunalalamikaje na kujiona wanyonge?mie hapa hata sijui nisemeje maana mambo haya yapo na kila siku yanatukuta ila hatujifunzi kabisa .mie i prefer kumwita mme wangu najua hawezi ita mtu mwingine mke wng coz na yy kazoea wife
waendelee ku trust hvyo hvyo bt wajue tu men wengi ana kasumba ya kudumisha milaWasiwasi wako tu!If u trust him nothing matter!
Atleast wale waliopo kwenye ndoa, lakini kwa wale wanaodate date.....(???)! Sharobaro vs sister du, wasipoitana haya majina nahisi huwa wanapata headache meeeeen!
afadhali aandike jina la kiume kuliko kuandika jina la babake ama kakake mzazi mbaya unakuwa unamfanya babako hawara yako huna adabu kabisa