Story za nguate
Member
- Mar 20, 2022
- 27
- 46
Usiwe kama samaki atoae machozi baharini yakamezwa na maji ukajiona wewe ni nunda wa mapenzi.
Maumivu ya mapenzi ni makubwa Sana Kaka/Dada hivyo yakupasa ufanye maamuzi magumu kwa nyakati ngumu. Kama unaishi kwa mateso na maumivu ukiamini atabadilika kesho na habadiliki ni Bora umuache aende na USIKUBALI KULIA Tena na Tena.
Yawezekana yeye alikua njia tuu ya kukupeleka kaanani kama Musa na Haruni. Hivi uliwahi kujiuliza kati ya dhahabu na Moto kipi kina thamani?
Ebu muache awe Moto na wewe uwe dhahabu, utanishukuru baadae.