Usikubali kuonewa huruma, unastahili heshima

🥰🥰
 
Siyo kweli mwanamke mzuri anajulikana😂
ndiyo, anajulikana na yule anayemuona mzuri. Nitajie star(s) wa kike Bongo unayemkubali kuwa ni mzuri, ambaye anafanana na kukaribiana na huyo mpenzi wako.
 
ila kumbuka upendo huisha.
 
ila kumbuka upendo huisha.
 
hv Esther aliishia wapi

narudi masomoni kipalapala nikawe huru uko kwenye useja
 
ndiyo, anajulikana na yule anayemuona mzuri. Nitajie star(s) wa kike Bongo unayemkubali kuwa ni mzuri, ambaye anafanana na kukaribiana na huyo mpenzi wako.
Hakuna star wa bongo mzuri,ila wapo wazuri wengi tu mtaani.

Ila kuna Barmaid mmoja yupo bar fulani kimara ni noma.

Yupo mwingine Yupo soko la stereo pale Temek ni mzuri binti wa kisomali Yule.

Mwingine Yupo filling station moja,kila nikipita siishi kumtazama.

Mwingine anauza uji mtaani kwetu ni balaa.

Bongo stars sijaona mtu mzuri ila warembo ni wengi
ndiyo, anajulikana na yule anayemuona mzuri. Nitajie star(s) wa kike Bongo unayemkubali kuwa ni mzuri, ambaye anafanana na kukaribiana na huyo mpenzi wako.
 
umejitanabaisha kuwa kigezo chako kikuu cha uzuri ni sura, its fine. Ila nikueleze kitu... unayoiona wewe 6 wenzako wanaiona 9. Umesema Bongo hakuna star mzuri, kuna warembo tu siyo? Ila mimi nawaona wazuri wengi mno... akiwemo Uwoya(kwa sura na umbo), Kajala pia, mimi Mars nk... hao wote ni kwa sura tu na shape, hasa hasa sura.
 
😂😂
Bro nishahudhuria hafla na misiba mingi hapa dar cha mastaa wengi tunaonana sijawahi kuona Uzuri wao hata 2020 kule Dodoma kwenye uchaguzi tulikuwa karibu mno na mstaa sikuona mzuri bablai
 
😂😂
Bro nishahudhuria hafla na misiba mingi hapa dar cha mastaa wengi tunaonana sijawahi kuona Uzuri wao hata 2020 kule Dodoma kwenye uchaguzi tulikuwa karibu mno na mstaa sikuona mzuri bablai
mastaa wengi ni warembo ila wazuri kabisa ni wachache likija suala la ushindani na ambao sio mastaa kuna wanawake na mabinti ni wazuri balaa
 
Shida ni moyo, mdada mwingine hadi anajirahisisha na kukuonesha ishara kuwa anakutaka kimapenzi, ila unakua humtaki kabisa, kumkataa live unaona noma, unaishia kujifanya hauelewi kitu binti kiziwi
 
Kumbe wewe mwenyeji kabisa hapo Mabibo. 😃 Watu tunapishana sana live ila hatujuani. Hizi anonymous ID za JF zinatusitiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…