Usikubali kuonewa huruma, unastahili heshima

Demu alikuwa smart,ila nawe punguza uzinzi Uwe mwadiventista Msabato sio Msabato! Nilisoma shule ya Kisabato.
 
Shida ni moyo, mdada mwingine hadi anajirahisisha na kukuonesha ishara kuwa anakutaka kimapenzi, ila unakua humtaki kabisa, kumkataa live unaona noma, unaishia kujifanya hauelewi kitu binti kiziwi
Unakaa single mwenetu…! au unaanza kununua no attachment’s no promises.

Kumpursue mtu ambaye unajua kabisa huyu simtaki (mleta mada ameita kumuonea huruma) lazima kuna siku utamuacha kwa ukatili kama mdada alivyomfanyia mleta mada.

Kuachana kupo; nadhani ulishawahi kutana na ile situation umeachana na mtu lakini hakuna anayelalamika sababu it was good time, kama kupendana mlipendana vya kutosha, kama kupeana mlipeana vya kutosha, labda muda na circumstances ambazo ziko nje ya uwezo wenu ndio zimewafanya msiwe pamoja, kila mtu anaondoka kwenye mahusiano anatukana kimoyo moyo ila anasema lakini nilifaidi imetosha 😅

Fujo zinaanza pale mmoja akiwa na malalamiko anaona nilitumika, kumbe sikupendwa, kumbe mimi tu ndio nilimpenda etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…