ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
We ni kati ya watu waoga kabisa duniani, na inaonyesha wazi kabisa kuwa hujiamini!ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
Nimecheka mbavu sina......Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe.