ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna watu hufikiria labda mtu kufanikiwa na kuwa Tajiri sana ni akili na upepo ndio uliomfikisha pale kumbe nyuma kuna watalaam wengi waliomuuzia wazo akalikubali akatia hela na kweli outcomes ikaja. Kwa mfano kina Bahkresa wao wametulia tu makampuni yana management nzuri yanakua.
Yeye haumizi akili maana vitu ni vingi so hata Elon Musk huenda sio genius kivile aliotea tu pesa kwenye PayPal ila project zake hizi nyingine za tech ukute hakuziwaza ma iniator ukute ni watu wengine kabisa.